Kama Maji Maji au Mau Mau ilikuwa halali, iweje lawama kwa wapalestina?

Inavyoonekana wewe una matatizo kichwani mwako, kwa taarifa yako, watu wengi hapa duniani wanaunga mkono Uhuru wa Wapalestina, lakini hawaungi mkono vitendo vya mauaji ya kiholela (vitendo vya kigaidi) vinavyofanywa na kundi la Hamas.
Wapalestina Wana haki na wajibu wa kupambana au kupigana na maadui zao sahihi, tena kwa kutumia mbinu au njia zilizo sahihi.
 
Kwa nini hao uliowataja hapo namba 2 wote wanalitaja jina la allah wakiua?

1. Niliowataja Hapo wanauwa watu kulazimisha dini zao kwa wengine.

2. Hao wanamwona yeyote asiyekuwa dini yao hafai kuishi.

3. Hawa amini kuwa dini ni hiari na kila mtu anawwza kuwa na yake.

4. Ugaidi si kuuwa tu, ugaidi ni kupigania na criminalize watu kwa imani yako.

5. Kuuwa ni pamoja na vitendo vya kigaidi.

6. Unaweza kuuwa bila kuwa gaidi.

7. HAMAS ni ukombozi kama ilivyo kwenye mada.
 

1. Ni jambo jema kutambua kuwa jutihada za kujikomboa za wapalestina ni hali.

2. Si sahihi kujipa u Mungu, shweitwani, malaika au jini wakati wewe ni binadamu:



3. Hapo #2, kwanini mwenye matatizo kichwani usiwe wewe?

4. Hapo #2, kwanini kujidhania mawazo yako tu ndiyo yaliyo sahihi? Hoja hupingwa kwa hoja.

5. Jikite kwenye mada:

Kama Maji Maji au Mau Mau ilikuwa halali, iweje lawama kwa wapalestina?

6. Hapo #5, mbinu za Maji Maji au Mau Mau zilikuwa halali?

7. Kama #6 jibu ni "ndiyo" kwa nini si halali kwa HAMAS?
 
Usiniweke sawa mimi, waweke sawa hao baadhi ya wakristo wanaowachukulia wayahudi ni ndugu zao wa damu,
Mie najua hilo na ndio maana mara nyingi siku ya xmass tarehe 25, ligi kuu ya inachezwa wakati nchi katibia zoote wanasimamisha ligi kusherehekea siku hiyo maalum.
Na ninajua pia taifa la israel kuna waislam wengi kuliko wakristo

Ukweli mchungu ni kwamba mapigano haya ni kwa ajili ya ardhi eneo, si ya kidini kama watu wanavyoaminishwa.
 

1. Ulichoongea Hapa huwa ni habari mbaya mno kwa wakkristo wafia dini.

2. MK254, eliasmisinzo na nukuu zao za biblia.

3. Ananukuu nani nini kwenye vitabu visivyokubalika na pande zote?

4. Nukuu yoyote ya kidini ina nini cha kufanya na dini isiyohusika au wasiokuwa waumini.

5. Hapo #4, si ndiko kumpigia mbuzi gitaa?
 
Uishi maisha mema kiongozi
 
Wee gaidi ulaaniwe mashenzi wewe namengineyo
Waelewa tumekuelewa ila hayo yajuu hapo jiandae nayo
Vaa helmet mkuu matusi na dhihaka za wale zisije zikakupata

Mkuu nimekurejea nime kusoma. Kwa hakika Hata kwenye kumfurusha Idd Amin Kagera tuliokuwa magaidi tulikuwa sisi.

Kwa kweli tulimkosea sana Amin, tukamwita nduli hali manduli tulikuwa sisi!
 

Magaidi wa dini yako wameshawahi mabikira, wewe unasubiri nini

 
Mkuu nimekurejea nime kusoma. Kwa hakika Hata kwenye kumfurusha Idd Amin Kagera tuliokuwa magaidi tulikuwa sisi.

Kwa kweli tulimkosea sana Amin, tukamwita nduli hali manduli tulikuwa sisi!
Heheeeeee nashukuru kwakunielewa mkuu
Ila ndio mambo wema ukiishaufanya jiandae kulipwa ubaya
 
Mmekombia magaidi yenu mangapi yaliotekwa na wanamapambano wa hamas mpaka sasa?

Wale hatuna haja nao, hata juzi tumewaua maana tunataka watumike kama chambo ya kufagia hayo mazombi ya dini yenu....

 
Bado nipo bwana gaidi la dini


1. Ujinga uliopitiliza #1 ulio nao ni kudhani mgogoro Gaza una husu dini.

2. Ujinga uliopitiliza #2 ulio nao ni kudhani kila mtu ana dini.

3. Ujinga uliopitiliza #3 ulio nao ni kudhani mwenye dini uliyo nayo ni wewe tu na kila asiyekubaliana na Israel bni mwislamu tu!

4. #3 hapo nikumnushe Lissu, Nyerere, Mandela, Mimi hapa nk siyo waislam!

5. Ujinga wako uliopitiliza #4 ni kudhani Imani yako ni Bora kuliko nyingine.

6. Ujinga wako uliopitiliza #5 ni kudhani Kuna mashindano ya Imani popote kwenye mada hii.

7. Ujinga uliopitiliza #6 ni kutojua Imani zote ni disjoint.

8. Kwa #7 hapo ni ujinga uliopitiliza #7 kujaribu kutumia lolote tokea dini Moja dhidi ya nyingine.

9. Zaidi sana ni ujinga uliopitiliza funga kazi kutojikita kwenye mada na kuokotezabupumbavu kuleta kwenye mada isiyokuwa na uhusiano nao hata kidogo.

Bure kabisa!
 

Utakua mjinga wa mwisho kudhani hizi nadharia zako unaziandika zina umuhimu wowote, mgogoro wa pale ni mpaka siku mtaacha kutafuta kumaliza Wayahudi kama alivyoagiza 'mungu' wenu muarabu.

sahih muslim 2921
Abdullah b. 'Umar reported Allah's Messenger (ﷺ) as saying:
You and the Jews would fight against one another until a stone would say: Muslim, here is a Jew behind me; come and kill him.

“Slay the unbelievers wherever you find them – 2.191”
“Terrorise and behead those who believe in scriptures other than the Koran – 8.12”
“Make war on the infidels living in your neighbourhood – 9.123”
“Do not hanker for peace with the infidels; nehead them when you catch them – 47.4”



 
Write your reply...maelezo meeengi we sema tu kuwa unaunga mkono hamas kuwauwa watanzania wenzako basi!
 
Huwezi kuamini kuwa Waafria wa ambayo sasa inaitwa peramiho walikuwa wanamsaidia Mjerumani kuuwa Waafrika wenzao.

Wangoni wengi kipindi hicho ndiyo waliletwa kutoka kusini mwa Afrika kusaidia wazungu kuuwa waafrika wenzao wanaokataa kutawaliwa na mjerumani.
 
Race 3 hizi ni shida hapa duniani
Mweusi - huyu ana madhara kwa weusi wenzake

Mwarabu - huyu ni tatizo kwa walimwengu na angekua super power cha moto tungeona wengine

Myahudi - huyu ni tatizo kwa walimwengu unaweza kuona kwann hata Ulaya kila sehemu alikua anafukuzwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…