Kama Maji Maji au Mau Mau ilikuwa halali, iweje lawama kwa wapalestina?

Mmewafuta hamas tayari [emoji3][emoji1787][emoji3]

Tatizo wanatumia hawa kama kinga hivyo inatulazimu tuwafikie kikomando, maana dunia inapiga makele sana, la sivyo tungepiga carpet bombing



 
Tatizo wanatumia hawa kama kinga hivyo inatulazimu tuwafikie kikomando, maana dunia inapiga makele sana, la sivyo tungepiga carpet bombing



Hamas kundi teule kamatieni hapo hapo mpaka magaidi waondoke ukanda wa ghaza kinguvu
 

1. #10 pale kama nilivyokuandikia inakuhusu sana.

2. Kwamba ungali unalazimishia watu dini? Hawapingani watu na Israel kwa sababu ni wakkristo; Lissu, Nyerere, Mandela, na wengi wetu humu siyo waislam.

3. #2 hapo nukuu zozote kwenye vitabu irrelevant Kwa wengine ni kuwapiga mbuzi gitaa.

4. Usichokijua:

Gaza ni Marekani dhidi ya Palestina si Israel na HAMAS

5. Ila kwa sababu kichwani una maembe usishau hata Baniani nao misahafu yao!
 
Write your reply...maelezo meeengi we sema tu kuwa unaunga mkono hamas kuwauwa watanzania wenzako basi!

1. Ben, Azory, Mawazo, Lijenje au waliokuwa wanakutwa kwenye viroba hawakuwa watanzania?

2. Huu utanzania usiojua Maji maji ilikuwa nini iliondoka na iliondoka na watanzania wangapi umeibuka lini?

3. Si kuwa udini umewakolea mno Hadi kudhani mna ujomba na Mungu?



4. Si kuwa ujomba wake Mungu umewakolea Hadi mnadhani yatokeayo ni Alemagedon iliyotabiriwa hadi kujinasibu nayo kama ID zenu?



5. Hapo #4 wewe si ni psychophant tu na unasikitika mno huna namma ya kutofautisha Maji Maji wala vita vya wapalestina?

Bure kabisa!
 

Mbaya zaidi ni kuwa wenye kudai kulaani mno watanzania kufia vitani hawaja wahi kutia neno watanzania kufia Congo, Uganda, Msumbiji, Zimbabwe Nk.

Hawaja wahi kusema lolote kuhusu kina Ben, Lijenje, Azory, Mawazo, Lissu na wengine wengi wakiwamo wahanga wa Oct 28 Zanzibar.
 
Tatizo letu linabaki palepale, tu wajinga hata wa kuusema ukweli.
 
Tatizo wanatumia hawa kama kinga hivyo inatulazimu tuwafikie kikomando, maana dunia inapiga makele sana, la sivyo tungepiga carpet bombing




Heee! Huu si wazimu?

".. hivyo inatulazimu tuwafikie .."

Kumbe ninyi nani 🤣🤣,, ?
 
Hapo kwa israhell kubomoa makanisa
Gaidi ata akijificha kanisani ni kumlipua tu , Israel imeonesha jinsi ya kuwamaliza magaidi ipasavyo fikiria mtu mzima anatembezewa kichapo mpaka anajificha shimoni kama fuko
 

Hamna chochote ninaweza kujadili na minafiki ya kigaidi ya dini mnapaswa kuendelea kupigwa....Haitokuja siku muwafute Wayahudi na huyo 'mungu' wenu muarabu, yeye alijaribu akaishia kufa

sahih muslim 2921
Abdullah b. 'Umar reported Allah's Messenger (ﷺ) as saying:
You and the Jews would fight against one another until a stone would say: Muslim, here is a Jew behind me; come and kill him.

 
Heee! Huu si wazimu?

".. hivyo inatulazimu tuwafikie .."

Kumbe ninyi nani 🤣🤣,, ?

Umeonae mnashabikia machizi wanaotumia vitoto kama ngao, kisa tu dini na upumbavu wenu.
Isingekua kwa hawa watoto pale pangefanywa carpet bombing.

 

1. Kujadili jambo na mbuzi koko:



2. Kwa hakika ni matumizi mabaya kabisa ya muda na bando.

3. Kwa hakika nimejiridhisha.

4. Nasikitikia muda wangu na bando vilivyopotea.
 
Ila magaidi mmetembezewa kichapo
Gaza ni kifusi kwa sasa , wakitokea chini kama fuko wanakamatwa wanavuliwa nguo 😂😂😂

Kwa hiyo ndugu kila asiyekubaliana na Israel ni gaidi? Hivyo Mandela Nyerere Lissu na wote wa namna hiyo ni magaidi?

Sasa ndugu hiyo itakuwa ni akili au matope?
 
Kwa hiyo ndugu kila asiyekubaliana na Israel ni gaidi? Hivyo Mandela Nyerere Lissu na wote wa namna hiyo ni magaidi?

Sasa ndugu hiyo itakuwa ni akili au matope?
Nioneshe lini Nyerere alikubaliana na hamas
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…