Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Unajua kusoma?Nendeni mkalilie kaburini kwake Chato,msitupigie kelele.
Maji yameongezekaKwamba mchina na karoti zake mdio walimaliza maji ya Ruvu?
Believe this, and you'll believe anything!
Hujui huyo mungu wako kama amekufa? Mfufueni basi.Unajua kusoma?
Maji yameongezekaHujui huyo mungu wako kama amekufa? Mfufueni basi.
Ujinga mwingine bana. . ......unawezaji kuhujumu nchi ambayo ina TISS, Idara ya usalama wa nchi ya Jeshi la wananchi, informers, ordinary informing citizen n.k. Ukiona kitu kisichokawaida kimefanyika dhidi ya welfare ya nchi ni kwa baraka ya Serikali iliyopo madarakani aidha kwa maslahi yake, maslahi ya viongozi wa juu wa Serikali au maslahi ya chama tawala. That's it. Achana na ujinga kuwa Serikali inahujumiwa! Nani Wa kuhujumu dude lenye machineries zote za usalama nchini? Kwendraaaaaa. Kawadanganye wanyarugusu wenzio, sisi na akina johnthebaptist tunawatazama Kwa tahadhari kubwa.Ni dhahiri kuwa maneno ya hayati JPM yana ukweli kuwa hujuma ya kufungulia maji ili yasiende kwenye vyanzo vya kuzalisha umeme vya, Kihansi, Kidatu, Mtera na kwingine ndio chanzo cha mgao na tatizo la umeme hapa Bongoland.
Kama raia wa China na muwekezaji alikuwa anachepusha lita Mil moja kwa saa amedhibitiwa ndani ya masaa 48 na tayari maji yameongezeka mto Ruvu, hivyo hata wanaohujumu vyanzo vya kuzalisha umeme wakidhibitiwa mgao na upungufu wa umeme utapungua.
My take; Maneno ya hayati kuwa vyanzo vya kuzalisha umeme huwa vinahujumiwa kwa kufungulia maji yana ukweli.
HII NCHI TUKIUNGANA, TUKAZICHANGA AKILI ZETU VYEMA KWA PAMOJA !HATUTACHUKUA MIAKA 10 KUISHANGAZA DUNIA KIUCHUMI!Ni dhahiri kuwa maneno ya hayati JPM yana ukweli kuwa hujuma ya kufungulia maji ili yasiende kwenye vyanzo vya kuzalisha umeme vya, Kihansi, Kidatu, Mtera na kwingine ndio chanzo cha mgao na tatizo la umeme hapa Bongoland.
Kama raia wa China na muwekezaji alikuwa anachepusha lita Mil moja kwa saa amedhibitiwa ndani ya masaa 48 na tayari maji yameongezeka mto Ruvu, hivyo hata wanaohujumu vyanzo vya kuzalisha umeme wakidhibitiwa mgao na upungufu wa umeme utapungua.
My take; Maneno ya hayati kuwa vyanzo vya kuzalisha umeme huwa vinahujumiwa kwa kufungulia maji yana ukweli.
Kama raia wa China na muwekezaji alikuwa anachepusha lita Mil moja kwa saa amedhibitiwa ndani ya masaa 48 na tayari maji yameongezeka mto Ruvu, hivyo hata wanaohujumu vyanzo vya kuzalisha umeme wakidhibitiwa mgao na upungufu wa umeme utapungua.
Lita mil 1 kwa saa zilikuwa zinaibiwa bila kibali mto Ruvu, huko kwenye umeme huwa wanafungulia maji ili yapungue...Kutumia maji ya mto kwa shughuli za kiuchumi kama kumwagilia mashamba au kufuga samaki siyo kuhujumu.
Infact serikali yenyewe ina encourage watu kulima kilimo cha umwagiliaje.
Na hii mito yote iko chini ya mamlaka za mabonde ambao ndo wana ratibu matumizi ya maji kwa ajili ya shughuli mbalimbali.
Kitendo cha kuwafungia maji kwa nguvu na kuwakamata watu wanao fanya shughuli zao halali ni ukiukwaji wa haki zao. Jambo hili lilitakiwa kuwa la mazungumzo badala ya nguvu
Yule shetani ameinajisi nchi yetu.Maji yameongezeka
We hujatiwa najisi huko nyuma yako?Yule shetani ameinajisi nchi yetu.
Wacheni mbwembwe za kijinga.Ni dhahiri kuwa maneno ya hayati JPM yana ukweli kuwa hujuma ya kufungulia maji ili yasiende kwenye vyanzo vya kuzalisha umeme vya, Kihansi, Kidatu, Mtera na kwingine ndio chanzo cha mgao na tatizo la umeme hapa Bongoland.
Kama raia wa China na muwekezaji alikuwa anachepusha lita Mil moja kwa saa amedhibitiwa ndani ya masaa 48 na tayari maji yameongezeka mto Ruvu, hivyo hata wanaohujumu vyanzo vya kuzalisha umeme wakidhibitiwa mgao na upungufu wa umeme utapungua.
My take; Maneno ya hayati kuwa vyanzo vya kuzalisha umeme huwa vinahujumiwa kwa kufungulia maji yana ukweli.
Washatuona kama makondoo walio nusulika na msako wa simba wenye njaa.Hawa wasenge wanacheza saana na akili zetu, wameshatuona mazoba basi wanatupeleka peleka tu..
Inauma, inakera lakini mwishowe unajikuta unacheka kwa ujinga tulio nao wa kuendekeza hawa kenge.
Wengine bado wanaamini ipo siku atarudi maana yeye wanamuita masiaNendeni mkalilie kaburini kwake Chato,msitupigie kelele.
Ni ujuha tu kuamini huo uongo wa kijingaKwamba mchina na karoti zake mdio walimaliza maji ya Ruvu?
Believe this, and you'll believe anything!