Kama maji yameongezeka mto Ruvu ndani ya saa 48, basi hata Kidatu, Kihansi na Pangani yataongezeka kama wanaohujumu wakidhibitiwa

Tanzania kuna upuuuzi na ujinga wa hali ya juu sana ndugu yangu
 
Rais ni hatari kufanya operation ya kuondoa wamachinga barabarani (uamuzi sahihi) na wakati huo huo kuzuia raia haohao essentially wasitumie maji ya mito inayopita kwao kulima mbogamboga, umwagiliaji mdogo mdogo, ufugaji samaki, nk nk. Hapa kuna real danger ya kuleta maafa, njaa, magonjwa na vita haswa ambayo hakuna atakayeiweza. Ni vema muwaache raia watumie mito kwa uangalifu. Viongozi msitake kuleta mtafaruku maisha ya tozo yanatosha kuwa fimbo kwa viumbe hawa. Huku mtaani utawala umeshafitinika mno mambo si shwari kabisaaa. Maneno ni mengi saidieni mama. Mabango ya sura ya rais kila kona yanageuka kejeki mjue. Acheni watu watumie maji ya mito ni haki yao nyie endeleeni kula vya makopo ya supermarket toka Kenya na Ulaya msiwachokoze!
 
Yaani mpaka tufikie hio hatua ya maendeleo dunia itakuwa ishapiga hatua ya pili.
 
Zinaibiwaje? Hebu wakat mwingine tumia akili angalau kidogo uliyonayo. Yaan Taifa lina intelligence NCHI nzima bado kuna raia wema taasis na watu mbalimbali kwamba hao wachepushaji maji hawajawah onekana? Au walikua wanatumia mfumo wa none visible 🤣🤣🤣🤣
Lita mil 1 kwa saa zilikuwa zinaibiwa bila kibali mto Ruvu, huko kwenye umeme huwa wanafungulia maji ili yapungue...
 
Kuna sehemu ilikuwa karibu na kambi ya jeshi na haikuwa na alama yoyote ya kukataza kupaki gari. Ukienda pale na gari, wakati unapaki hakuna anayekuambia kuwa ni marufuku kupaki pale japo kuna walinzi. Ukimaliza shughuli zako, wakati wa kuondoka wanakuzuia na kukuambia umepaki sehemu iliyokatazwa, hivyo utafunguliwa mashtaka. Ufanyaji wa kazi wa sehemu nyingi ndiyo uko hivyo. Hapa mtu unajiuliza. Walipokuwa huyo mwekezaji aliponza kutumia hayo maji kwa nini hakuambiwa kuwa hairuhusiwi? Ukweli ni kwamba serikali yetu inafanya kazi kwa njia ya reactive. Wanasubiri mambo yaharibike ndiyo wajifanye kuchukuwa hatua, tena za kijinga kweli kweli.
 
Wewe ni zaidi ya kenge maana hajijui kuwa yupo sehemu hatarishi mpaka aone damu zinamtoka puani.

Nakushauri hama huko ccm siyo salama kwako maana wazee wako wanakutegemea angalau kwa kuwatafutia kuni kwenye msitu wa rubondo.
Yaani ingekuwa zama sultan saidi ungekuwa bagamoyo sokoni unangojea kupata wanunuzi toka omani maana huna faida!
 
Kwanini yalioungua na leo yaongezeke wakati hakuna siku imenyesha mvua?

Tumesha wastukia nyinyi watengeneza matukio na kujifanya mnayapatia ufumbuzi.
Ndugu hakuna Maji yaliyoongezeka Ruvu.
Nimepita Ruvu Leo nikitokea Mbeya Hali siyo nzuri Kabisa.Maji ni Machache Sana.Yaani Hawa Jamaa Wanajaribu kutengeneza story Mfu wakiwa na Lengo Lakumkuza huyo Marehemu Wao.
 
Vumilia tu hasira hazitokusaidia huenda march mwakani atafufuka.
Kwanini usivumilie wewe mama yako karibu atafufuka karibuni ila ukimwi utakuwa umemmaliza sana pole sana. Vipi ulipona hakukuambukiza kweli kunauwezekano unakusumbua sana ndiyo maana unaweweseka sana hadi sasa.
 
Ndugu hakuna Maji yaliyoongezeka Ruvu.
Nimepita Ruvu Leo nikitokea Mbeya Hali siyo nzuri Kabisa.Maji ni Machache Sana.Yaani Hawa Jamaa Wanajaribu kutengeneza story Mfu wakiwa na Lengo Lakumkuza huyo Marehemu Wao.
Tumesha wazoea sana hao wadanganyaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…