Kama makanisa mengi hayafati sheria za agano la kale ni kwanini wanazifata amri 10 za agano la kale

Kama makanisa mengi hayafati sheria za agano la kale ni kwanini wanazifata amri 10 za agano la kale

Lakini kumbuka kuna mistari agano jipya ina rejea maandiko ya agano la kale, bibilia ina mikanganyiko mingi

Tabia ya wakristo ni kuchambua ile mistari inayoendana na muktadha flani kisha mingine inapuuzwa
Kwamba wanachambua ile mistari wanayoona inawafaa Kwny mishe zao[emoji4]
 
¹Hapa sasa ndio huwa nataka kuelewa nafahamu wewe ni daktari pia.
Kwato, hacheui hii imekaaje embu iweke katika sababu ambazo unaweza kunielezea kama daktari.

Je ana madhara au ni najisi kwa maana ipi?
MKuu nikiri kwako kwamba katika swali lililofanya nianze kufikiria upya kuhusu makatazo hayo Yaliyotolewa kwa mlengo wa kisayansi zaidi na Muda so mrefu nitakuja na jibu
 
Back
Top Bottom