Kama Makonda kashitakiwa na Jamuhuri, hapo siamini kama kuna kesi bali nahisi kuna mchezo unafanywa

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
49,390
Reaction score
152,301
Hii habari ya Makonda kushitakiwa tuitazame kwa umakini hass kipindi hiki ambapo Mwenyekiti wa CHADEMA,.Mh. Mbowe akiwa na kesi isiyoeleweka.

Na itakuwa ni utata zaidi iwapo Makonda atashitakiwa na mtu binafsi na si serikali kwa maana ya Jamuhuri. Yaani ushitakiwe na Jamuhuri kwa kesi kama hiyo halafu unatokea nyumbani kwako kwenda mahakamani na si mahabusu?

Tuwe makini inawezekana watesi wetu wanajaribu kula na kipofu ila target yao kubwa hapa inaweza ni ku-neutralize kesi ya Kamanda wa Anga.

Tuendelee kusoma mchezo .
 
Great Mkuu ..umeona mbali
 
Anashtakiwa na Said Kubenea, muulizeni kamanda Kubenea anatumikia kambi ipi ? Amekuwa chawa siku hizi wa kutumwa kazi chafu na watu ?
 
Kama hujui sheria ni bora unyamaze

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Cloudz nao walishajitoa, na wale naona ndio walikuwa na ushahidi mzuri zaidi wa kumtia hatiani huyo jamaa.
Nani kakuambia clouds wamejitoa?wataitwa kama mashahidi na watatoa ushahidi wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…