Kama Mama Malecela hafai, je Mbowe anafaa?

inaoneka ccm kivukoni siku hizi wameishiwa.... yaani na mapesa yote ya wizi this is all ccm can afford?
 
Ouuch.. girl you need to stop... Ina maana Chuo Kikuu cha Sayansi ya Jamii au kile cha zamani cha Propaganda?

Cha propaganda,

Wakati nikisoma shule ya msingi, kuna walimu walikuwa wawili waliopitia chuo cha kivukoni walikuwa wanatufundisha siasa na historia. Hawa walijua siasa, walijua cha kusema kuhusu ccm, walijua kumtetea mwinyi kwa yote aliyofanya.

Siku hizi watetezi wa ccm hapa wanachoweza kuleta ni picha za mbowe, mara eti dr slaa ana mke wa pili, mara sijui mbowe kanunua gari ya wizi. Yaani hakuna mtu anayeweza kusimamia sera za ccm au chochote kinachofanyika hata kama ni kudanganya?

No wonder nasema ccm kivukoni (kwenye propaganda) wameishiwa.
 
CV ya Mbowe






http://www.parliament.go.tz/bunge/Mp_Cv3.asp?PTerm=2000-2005&fpkey=261&vusername=GUEST")


  1. Jamani hivi kweli hii CV ya Mbowe inafaa kuwa kiongozi nchi au wa chama au hivi vyeo tunapeana tu?
  2. Licha ya elimu ndogo, form six, experience aliyonayo ni ya ukarani tu, BOT. Je hivi vinatosha kuongoza nchi au hata chama cha siasa?
  3. Hivi akina Dr. Slaa, Zitto n.k. wamekubali vipi au wanajisikiaje kuongozwa na mtu wa elimu ya form six?
  4. Je elimu ndogo na uwezo mdogo wa Mbowe ni kikwazo kwa Chadema katika kuwabana vihiyo ndani ya CCM?
 

Hizi hadithi zako does not change the fact, wewe ndio unayeleta propaganda za Chadema hapa.
 

huyu si alikuwa anasoma UK ? akapata na "kuwashwa syndrome" baada ya kuona akina zitto, nae akafungasha na kurudi, akaanza kubomo chama na kudai wapiga ramli wanamuingilia kwenye "chama chake"....

Mbowe si kikwazo kwa chadema tu pekee bali pia kwa familia yake, anaiabisha kiasi kikubwa na uchafu aliokuwa/anaoufanya.

Hadi leo hii sijaona kitu anachoweza kukifanya kama rais, let alone alishindwa kufanya chochote alipokuwa mbunge.

Chama cha siasa alipewa tu na sio kwamba anao uwezo, chadema wenyewe wanadai hawapendi mambo ya ufalme, lakini angalia base ya chama chao, utachoka mwenyewe ! jamaa ni wanafiki !
 
Hizi hadithi zako does not change the fact, wewe ndio unayeleta propaganda za Chadema hapa.

you hit the nail mkuu ! na keep in mind kwamba the winner stops at the finish line, but the looser will want to go beyond the finish line hata kama ameshindwa, kwa kifupi ni kwamba point imeeleweka hivyo tuishie hapo na yeye anayetaka kuendeleza anaweza kufanya hivyo as long as we've made the point short and clear ! Big up mzee !
 
Hizi hadithi zako does not change the fact, wewe ndio unayeleta propaganda za Chadema hapa.

na wewe unasubiriwa hapa kwenye hili la wanaccm:

kusaini mkataba mbovu wa Buzwagi, Richmonduli, wizi BoT, Kiwira, IPTL, Bulyanhulu, na kununua rada feki, ndege ya bei ya kutupwa, na kupelekea ukosefu wa huduma muhimu nchini kwa watanzania - wana ccm
 
Naomba niseme kweli, kwa kweli mwk huwa siachi kusoma kila comment yaso na huwa unanifurahisha sana mojawapo ni pamija jibu hilo hapo juu, dada uko juu sana, keep it up

Hapa mafisadi wa ccm mpaka wakome. Ufisadi haukatishi hapa! Asante kwa support yako.
 
Hapa mafisadi wa ccm mpaka wakome. Ufisadi haukatishi hapa! Asante kwa support yako.

Bwana unajua watu wengine sijui huwa wanawaza nini maana hata kwa asiekuwa na uelewa mkubwa kila kitu kiko wazi kabisa kuwa CCM si chama cha wote ni chama cha wachache (Chao) kabisa tena hata ufanye nini kama ikiwezekana na roho wanakutoa uhai ili tuu wakae wao, na hao hao wanao watetea mara nyingi hali yao kiuchumi ni mbovu ile mabaya lkn ukikuta wanavo itetea hiyo CCM unabaki kujiuliza hivi huyu kachanganyikiwa???

sasa hivi watz tumeamka fisadi hakatishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…