Kama Mama Malecela hafai, je Mbowe anafaa?

Tuandamane,

Kila sehemu kuna diehards, unajua hata zimbabwe kuna watu hawaoni kuwa ni tatizo kwa kuwa na inflation big tyme, unajua kuna watu hawaoni tatizo kwa maelfu ya wasio na chakula. Katika societies zote watu kama hawa na hata hapa JF wanategemewa kuwepo.

Hii ni moja ya sababu ambayo wengine tuko hapa ili kuwakabili inavyowezekana. Kuzuia mipango yao ya uvurugaji. Kuna watu inawaumiza sana wakiona mafanikio ya JF. Kuna hasira na chuki kubwa toka kwa baadhi ya members hapa. Kuna wamepoteza ulaji kwa sababu ya JF. Usishangae chuki na yote yanayofanyika hapa.

Lakini you know what, as longer as nia ni thabiti hapa ya kuitoa Tanzania toka mikononi mwa mafisadi wasio na haya, mapambano yataendelea hata kama itachukua miaka 27 kama Mandela. Huu ni mwanzo na so far matokeo ni mazuri. Take your popcorn na ufurahie kinachoendelea - explosions!
 
Propaganda hailali hadi ieleweke (maana bwana kasema hivyo basi wafuasi INAWALAZIMU wafuate tena kwa ukarimu)!!
 
Wewe hata kabla hujaanza kuleta chuki zako za kidini hapa dhidi ya wakristo ngoja nikuweke kwenye spare for now.

Nani kaongelea udini hapa? Jibu maswali hapo chini usijifiche kwenye uchochezi.

CV ya Mbowe

Umesahau kuuliza swala muhimu - Anybody anafaa isipokuwa CCM baada ya miaka 46 hawana jipya ni ku-recycle material ambayo inanuka uvundo wa rushwa.
 
Umesahau kuuliza swala muhimu - Anybody anafaa isipokuwa CCM baada ya miaka 46 hawana jipya ni ku-recycle material ambayo inanuka uvundo wa rushwa.

Dua,

sidhani kama alifikiria hilo kabla ya kuanza, ukiwa fisadi unategemewa kufanya alichofanya hapo juu.
 
Wewe kubwajinga.

Next!

You can run but you can't hide. Jibu maswali hapo chini usijifiche kwenye 'NEXT'.

CV ya Mbowe

....

1. Jamani hivi kweli hii CV ya Mbowe inafaa kuwa kiongozi wa nchi au wa chama au hivi vyeo tunapeana tu?

Oyeaaa, Mbowe rocks, anawapa hell 'em mafisadi na anafaa kuwa kiongozi wa chama chochote chenye kutetea masilahi ya wananchi.

2. Licha ya elimu ndogo, form six, experience aliyonayo ni ya ukarani tu, BOT. Je hivi vinatosha kuongoza nchi au hata chama cha siasa?

Ukilinganisha na fisadi Chenge, I would rather go with bad boy MBowe

3. Hivi akina Dr. Slaa, Zitto n.k. wamekubali vipi au wanajisikiaje kuongozwa na mtu wa elimu ya form six?

Wanafurahi sana kuwa na mpiganaji mwenye bollz kama Mbowe na anayewapa hell mafisadi wa ccm.

4. Je elimu ndogo na uwezo mdogo wa Mbowe ni kikwazo kwa Chadema katika kuwabana vihiyo ndani ya CCM?

Sidhani kama MBowe anahusika na wanaofoji vyeti vyao huko ccm. I would trade elimu ya Mkapa kwa ujasiri na utetezi wa wanyonge wa Mbowe na Mzee wa Kiraracha.

Next .......
 
bwahahahaaaaaaaaaaa....kituko cha pili cha mwaka!! sasa labda napata idea kwa nini mbowe kakimbia shule !! aliambiwa na wafuasi wake, "bwana njoo tumekutayarishia makazi, watu watakupenda kwa ujasiri wako, haina haja ya kusoma". nae bwana akaingia mkenge !

MASWALI HAYA HAPA MWK HUJAJIBU !!

Jamani hivi kweli hii CV ya Mbowe inafaa kuwa kiongozi wa nchi au wa chama au hivi vyeo tunapeana tu?
Licha ya elimu ndogo, form six, experience aliyonayo ni ya ukarani tu, BOT. Je hivi vinatosha kuongoza nchi au hata chama cha siasa?
Hivi akina Dr. Slaa, Zitto n.k. wamekubali vipi au wanajisikiaje kuongozwa na mtu wa elimu ya form six?
Je elimu ndogo na uwezo mdogo wa Mbowe ni kikwazo kwa Chadema katika kuwabana vihiyo ndani ya CCM?
 
sio tu kuongoza mapambano, bali pia kuwasakama mafisadi. Na huu ni mwanzo, watakimbia nchi, haibiwi mtu Tanzania. muda si mrefu richmond, iptl, na wenzake itakuwa ndoto.

Give them hell Mbowe! Wanyonge wanakutegemea.
 
usikimbie wewe tu
Jamani hivi kweli hii CV ya Mbowe inafaa kuwa kiongozi wa nchi au wa chama au hivi vyeo tunapeana tu?
Licha ya elimu ndogo, form six, experience aliyonayo ni ya ukarani tu, BOT. Je hivi vinatosha kuongoza nchi au hata chama cha siasa?
Hivi akina Dr. Slaa, Zitto n.k. wamekubali vipi au wanajisikiaje kuongozwa na mtu wa elimu ya form six?
Je elimu ndogo na uwezo mdogo wa Mbowe ni kikwazo kwa Chadema katika kuwabana vihiyo ndani ya CCM?
 
usikimbie wewe tu

1. Jamani hivi kweli hii CV ya Mbowe inafaa kuwa kiongozi wa nchi au wa chama au hivi vyeo tunapeana tu?

Oyeaaa, Mbowe rocks, anawapa hell 'em mafisadi na anafaa kuwa kiongozi wa chama chochote chenye kutetea masilahi ya wananchi.

2. Licha ya elimu ndogo, form six, experience aliyonayo ni ya ukarani tu, BOT. Je hivi vinatosha kuongoza nchi au hata chama cha siasa?

Ukilinganisha na fisadi Chenge, I would rather go with bad boy MBowe

3. Hivi akina Dr. Slaa, Zitto n.k. wamekubali vipi au wanajisikiaje kuongozwa na mtu wa elimu ya form six?

Wanafurahi sana kuwa na mpiganaji mwenye bollz kama Mbowe na anayewapa hell mafisadi wa ccm.

4.Je elimu ndogo na uwezo mdogo wa Mbowe ni kikwazo kwa Chadema katika kuwabana vihiyo ndani ya CCM?

Sidhani kama MBowe anahusika na wanaofoji vyeti vyao huko ccm. I would trade elimu ya Mkapa kwa ujasiri na utetezi wa wanyonge wa Mbowe na Mzee wa Kiraracha.

Next .......
 
M.A ((Mdebwedo Analysis) - Grade -0%
 
Dah, kama kweli hii ni CV ya Mbowe, inatiririsha machozi, na ukiachia mbali utani na ushabiki wa kisiasa, hii CV hainasi hata kazi ya kutengeneza sandwiches. Inabidi ai-polish angalau kidogo ili isiendelee kuhuzunisha.
 
Umelijua hili leo?

Ama kweli inabidi uandikishe uchunguzi kwenye kitabu cha record za dunia!
 
Nani kaongelea udini hapa? Jibu maswali hapo chini usijifiche kwenye uchochezi.

CV ya Mbowe

Its obviously way easier for you to demand answers to the kind of questions you've posed above (which appear to be loaded and skewed in disfavour of Mr. Mbowe's position). What you need to do instead is to convince us through rigorous and persuasive argumentation why (according to presumptions inherent in your questioning), Mr Mbowe's credentials appear to be lacking to justify his position as Party Chairman and potential candidate for office of President of Tanzania.
 
up to this point i rest my case, wameshindwa kuja kumtetea bwana wao mbowe ...sasa nielekeze macho yangu kwingine....and am out !
 
Jamani hivi kweli hii CV ya Mbowe inafaa kuwa kiongozi wa nchi au wa chama au hivi vyeo tunapeana tu?

Tunaomba cv yako kada mpinzani wa maendeleo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…