Kama Mama Malecela hafai, je Mbowe anafaa?

Kama Mama Malecela hafai, je Mbowe anafaa?

Uwezo wa kubwabwaja sio ubora wa uongozi.

Hii quote nimeipenda,

Mimi nadhani Mbowe ni kiongozi mzuri ila mapungufu ya kielimu ni drawback kubwa ingawa wengi wetu tutaikataa. Nadhani Mbowe anahitaji elimu zaidi kuliko urais.

Lazima tukubali kwamba elimu ni muhimu kwa viongozi wa karne hii. Ila nimeona wachangiaji wengi wakichanganya mapera na maembe hapa. Elimu sio sawa na maadili ya uongozi, ni bora hili likaeleweka. Kiongozi anaweza akaelimika na kukosa maadili, au akawa hana elimu ila akawa na maadili. kiongozi bora ni yule mwenye yote mawili (elimu na maadili), kama kimoja kinakosekana basi huyo "hafai" miongoni mwa walio na vitu hivyo viwili. Na ndio maana hata founder wa politics Pilato, anakubali kwamba 'kings should be philosophers and philosophers should be kings', akiwa na maana kwamba viongozi (kings) lazima waelimike na walio elimika (philosophers) ndio wafanywe kuwa viongozi.

Kwa mantiki hii, umuhimu wa elimu kwa viongozi ni sawa na umuhimu wa maadili ya uongozi. Swali linakuja katika kiwango cha elimu vs kiwango cha maadili. Kama jamii inakubali kiwango cha form six kuwa ni kiwango sahihi kwa kiongozi basi Mbowe ana qualify, la sivyo ipo haja ya Mbowe kuongeza elimu.
 
Mama Malecela anafaa kuwa kiongozi wa nafasi aliyo nayo sasa ya ubunge. Iwapo ana mikakati ya kugombea urais ni vyema atumie muda huu kujiimarisha kielimu na kisiasa.

Mama Kilango, Mbunge,

Anafaa kugombea nafasi yoyote katika taifa letu, ukweli ni kwamba wale wanaomshambulia hapa wameshindwa kabisaa kwenye hilo la kutaka kumchafua jina just because wamefukuzwa getini na FFU, kwa sababu ya kushindwa kufuata protocol,

Mimi ninafikiri hawa mahakimu ndio wanahitaji kujiiimarisha kielimu na kisiasa, ili wajifunze kufuata protocol na wajifunze one important rule ya maisha kuwa familia ya watu wengine haiwezi kuwa yako hata siku moja, familia ikigombana ugomvi wao wa ndani haina maana kuwa sasa unaweza kupata nafasi ya kujipenyeza na kuwa ndugu, halafu ukikataliwa eti dawa ni kuja kutukana hapa that is low, halafu eti unakuwa na power ya kuja hapa kuhukumu viongozi wakati wewe mwenyewe huna hata qualification moja, kuanzia uraia mpaka elimu huna lakini unajaribu tu kujikweza kweza ni aibu kwa mtu mzima, kwenye hili tumeshamfahamisha na zilitakiwa print tayari zimepelekwa

Mama Kilango, is just fine na ni haki yake kama raia kugombea nafasi yoyote ya taifa letu kama ilivyo kwa raia yoyote yule wa bongo, hawezi kuzuiwa na mtu yoyote hapa wala mahali popote pale, hakuna mtu yoyote mwenye power over her Constitutions right, anachotakiwa ni kutimiza masharti ya chama anachotaka kugombea sio masharti ya mtu hapa JF, ambaye hwezi kuwa hata katibu tarafa, beef za mtu binafsi huko nje ya forum zisiletwe hapa period! Mama Clinton amefungua mlango sasa ni wakati wa kina mama kusimama na kukataa kutishwa na wanaume waliopitwa na wakati ambao wanafikiri kazi ya kina mama ni jiikoni tu! Mama Kilango go!

Ahsante Wakuu!
 
Kama jamii inakubali kiwango cha form six kuwa ni kiwango sahihi kwa kiongozi basi Mbowe ana qualify, la sivyo ipo haja ya Mbowe kuongeza elimu.

Mkuu Heshima mbele, sitetei ujinga lakini tunachoshindwa hapa ni kuweka wazi iwapo Mbowe hatimizi masharti ya Chadema au hatimizi, na iwapo anatimiza masharti ya taifa katika ugombea urais,

Halafu accademically tumeshindwa kabisa kuonyesha iwapo kama tunao viongozi safi ambao mwanzo wa usafi wao au uongozi wao bora umetokana na elimu kubwa waliyonayo, pia tunashindwa kukubali political fact kwamba Chadema under Mbowe imeweza kusimama na kulisaidia taifa letu kuliko hata ilipokuwa inaongozwa na wasomi kama Mtei na Makani,

Mbowe deserves more respect kutoka kwetu wananchi kuliko what you guys are doing here, tuna taifa ambalo limeongozwa na mtu kama Mwinyi ambaye pia elimu yake ni very suspect, lakini aliweza kutuletea demokrasia sasa ukiongea siasa ya taifa huwekwi ndani tena, au kuhesabiwa visoda vya bia unapokunywa beer bar, tuwe na heshima kidogo na viongozi wetu wakuu wa taifa kama Mbowe.
 
ES, mbowe kuheshimika anaheshimika mbona kama mtu mwingine yule wa kawaida, lakini wengi tusichotaka ni kuona mtu aliyekimbia shule atake kuongoza watanzania, tunaweza tukasema ni mwenzetu lakini sio, jamaa ni opportunist, anakaa akiona ulaji anatia timu, na sio jingine....viongozi wanatakiwa wawe patient, na kama kweli yeye yupo patient basi amwachie slaa chama huku yeye akiendelea kusoma na akimaliza ashikilie usukani kama kawa, lakini kubwabwaja kwake kusiwe kama kigezo cha yeye kutaka kuongoza watu ! kwa kifupi HAFAI! ILA NAJUA ITS JUST A MATTER OF TIME, ITAFIKA WAKATI NA YEYE ATATOKA HADHARANI KAMA MREMA NA KUTUONYESHA CHETI CHAKE, SHULE AMBAYO HATA HAIJULIKANI ILIKO !
 
ES, mbowe kuheshimika anaheshimika mbona kama mtu mwingine yule wa kawaida, lakini wengi tusichotaka ni kuona mtu aliyekimbia shule atake kuongoza watanzania, tunaweza tukasema ni mwenzetu lakini sio, jamaa ni opportunist, anakaa akiona ulaji anatia timu, na sio jingine....viongozi wanatakiwa wawe patient, na kama kweli yeye yupo patient basi amwachie slaa chama huku yeye akiendelea kusoma na akimaliza ashikilie usukani kama kawa, lakini kubwabwaja kwake kusiwe kama kigezo cha yeye kutaka kuongoza watu ! kwa kifupi HAFAI !

Naunga mkono.
 
Mkuu Kada/Zemarcopolo,

Nimewasikia na ninajaribu kuwaelewa, lakini ninasema hvi so far hamna a strong argument accademically, kwa sababu mnahsindwa kabisa kuiweka ishu yenu against Mbowe katika accademic avenue, kwa ajili ya faida ya wasomi wote na hasa wananfunzi wetu wa bongo, kwamba Elimu ya Mbowe ni tatizo kwake kushika madaraka makubwa ya taifa letu, kulinganisha na bwana X, ambaye kutokana na elimu yake kubwa ameweza kuliongoza taifa letu kwa uzuri na usafi mkubwa kiuongozi,

In fact ni aibu kubwa kwetu wa-Tanzania kuzungumzia elimu za viongozi wetu na ubora wake, kwa sababu tunajua yaliyokwisha fanywa na viongozi wasomi kama Mkapa, Lowassa, Dr. Msabaha, Chenge, Professor Mbilinyi, Idd Simba, Professor Mahalu,

ninaomba kurudia tena wakuu kuwa kwa faida ya maendeleo yetu ya taifa, sioni a strong argument against elimu ya Mbowe, lakini ninaona a case against uchaguzi wa vyama vya siasa, lakini sio taifa kwa sababu mnashindwa kuiweka hii argument katika history kwa ajili ya the future of our nation, yaani viongozi wenye elimu kubwa against wasiokuwa na elimu kubwa!

Ninaamini Mbowe, as raia wa Tanzania anazo haki zote constitutionally, kugombea nafasi yoyote ile ya uongozi, as long as anatimiza masharti ya kugombea ya either chama chake au taifa, kama kuna tatizo na yeye kugombea kwenye tiafa basi tuonyeshe history na evidence za viongozi wetu wenye elimu kubwa na mazuti waliyotufanyia,

Mimi ninasimamia taifa, siasa za vyama niliacha kabisaa, ninasema kuwa Mbowe anazo haki zote kugombea urais, as long as anatimiza masharti ya kugombea ya taifa, kama hana basi niatawaunga mkono wakuu kina Kada!
 
Duh, JF sasa imeingiliwa. Watu wanatetea wafadhili wao utadhani vichwa kavu na hawasikii lolote. "Next" zimekuwa ndio hoja au tuseme ndio mbio na vificho.
 
Maandishi mekundu - There is no way for us to construct a strong argument kwa kitu ambacho kipo wazi kabisa, tena mwenyewe alijipamba kwamba anaenda kunoa ubongo UK, na baada ya kuchemka kwa kurudi kudandia siasa za tanzania, anashindwa kuwaambia watz/vyombo vya habari kwamba ameshidnwa au amesogeza au ameacha kwa muda masomo, lakini kaamua kubonyeza kimya ! Strong argument ipi unayotaka wewe ? Pengine mkuu labda utakuwa hufahamu matumizi ya STRONG ARGUMENTS, sio kila kitu kinahitaji strong argument nikwambie, kama yeye mwenyewe alisema anaenda kusoma then ghafla bin vuu ameacha, then atake kutawala watanzania bado tu unasema unataka strong argument ?? thats a no no situation. Kesi kama za mkapa ambazo hakutangaza hadharani na wala hajawahi kusema na haijafahamika hadi sasa kama kweli mgodi wa kiwira ni wake, ndo moja wapo wa kesi zinazohitaji strong argument !! - -

Maandishi ya Bluu - - are you somehow suggesting kwamba elimu sio muhimu eti kwa kuwa fulani aliboronga basi ndio tung'oe kigezo cha elimu katika ugombeaji urais ? Thats a joke ! Au ndo kusema kwamba waafrica watano wakikosea, tuseme waafrica mbumbumbu ? after all, vitu ambavyo hao viongozi uliowataja hizo ni tabia zao, na tabia na elimu ni vitu viwili tofauti ! kama walifanya ufisadi, hiyo ni tabia either wangeenda darasani au wasingeenda darasani still wangekuwa vivyo hivyo !!
 
Mkuu Kada/Zemarcopolo,

Nimewasikia na ninajaribu kuwaelewa, lakini ninasema hvi so far hamna a strong argument accademically, kwa sababu mnahsindwa kabisa kuiweka ishu yenu against Mbowe katika accademic avenue, kwa ajili ya faida ya wasomi wote na hasa wananfunzi wetu wa bongo, kwamba Elimu ya Mbowe ni tatizo kwake kushika madaraka makubwa ya taifa letu, kulinganisha na bwana X, ambaye kutokana na elimu yake kubwa ameweza kuliongoza taifa letu kwa uzuri na usafi mkubwa kiuongozi,

In fact ni aibu kubwa kwetu wa-Tanzania kuzungumzia elimu za viongozi wetu na ubora wake, kwa sababu tunajua yaliyokwisha fanywa na viongozi wasomi kama Mkapa, Lowassa, Dr. Msabaha, Chenge, Professor Mbilinyi, Idd Simba, Professor Mahalu,

ninaomba kurudia tena wakuu kuwa kwa faida ya maendeleo yetu ya taifa, sioni a strong argument against elimu ya Mbowe, lakini ninaona a case against uchaguzi wa vyama vya siasa, lakini sio taifa kwa sababu mnashindwa kuiweka hii argument katika history kwa ajili ya the future of our nation, yaani viongozi wenye elimu kubwa against wasiokuwa na elimu kubwa!

Ninaamini Mbowe, as raia wa Tanzania anazo haki zote constitutionally, kugombea nafasi yoyote ile ya uongozi, as long as anatimiza masharti ya kugombea ya either chama chake au taifa, kama kuna tatizo na yeye kugombea kwenye tiafa basi tuonyeshe history na evidence za viongozi wetu wenye elimu kubwa na mazuti waliyotufanyia,

Mimi ninasimamia taifa, siasa za vyama niliacha kabisaa, ninasema kuwa Mbowe anazo haki zote kugombea urais, as long as anatimiza masharti ya kugombea ya taifa, kama hana basi niatawaunga mkono wakuu kina Kada!

Tunajua pia yaliyofanywa na wasomi wetu madaktari kama vile kumpasua kichwa mtu mwenye ugonjwa wa goti, kuwaacha wagonjwa wakifa wodini huku wao wakisusa kwa kisingizio cha mshahara mdogo etc. Je tutumie hii kama argument ya kuwaruhusu waliomaliza form six waende kufanya operation hospitali kwa sababu wana kauzoefu ka kupasua chura shuleni?
 
ndio hapo sasa ! hahaaaaa.... wewe umeniacha hoi hapo lakini ni ukweli !
 
Duh, JF sasa imeingiliwa. Watu wanatetea wafadhili wao utadhani vichwa kavu na hawasikii lolote. "Next" zimekuwa ndio hoja au tuseme ndio mbio na vificho.

tumeingiliwa sana lakini naona mbo za sakafuni zinaanza kuishia ukingoni, kwa sababu it takes alot kuweza ku-maintain names na kubadili maneno kila siku, Mungu hakuumba binadamu to work that way,

Wanaodai hawataki kuburuzwa, tunawaona wazi kuwa nia yao ni ile ile wasiyoitaka wao, kutaka kuwaburuza wengine, wakikataliwa basi wanaokataa wametumwa na wafadhili, akili kweli ni mali!
 
In fact ni aibu kubwa kwetu wa-Tanzania kuzungumzia elimu za viongozi wetu na ubora wake, kwa sababu tunajua yaliyokwisha fanywa na viongozi wasomi kama Mkapa, Lowassa, Dr. Msabaha, Chenge, Professor Mbilinyi, Idd Simba, Professor Mahalu,

Bonge la pointi!

Na tunajua mazuri yaliyofanywa na watu wenye "elimu suspect" kama unavyopenda kuwaita. Sokoine ana "elimu suspect" ya mwaka mmoja ya Russia, Mrema alifanya kazi nzuri kuliko Mawaziri wasomi wengi tu, Mwinyi na Kawawa wana "elimu suspect" na hawakuiba kama Mkapa na Lowassa, na kuendelea na kuendelea...
 
Mkuu ndio maana ninasema kuwa wenye uchugnu na taifa, wanahitaji kuweka siasa za vyma pembeni na kujaribu kutafuta solution ya taifa na uongozi, binafsi I am open na kuongozwa na form six labda kutakuwa na positive changes kwa taifa,

kwa sababu siamini kuwa form six wote duniani wanamiliki big Casinos!
 
Baada ya mjadala huu kuendelea kwa muda mrefu naomba nitoe tamko la mwisho baada ya kupima maoni ya wana JF.

Mbowe hafai kuongoza nchi ya Tanzania, ujumbe kwake ni kwamba asijitokeze tena katika uchaguzi mkuu ujao kama mgombea. Kwa vile amejaliwa kipaji cha kuongea basi ni vyema akitumie kipaji hicho kuwanadi wagombea wengine wa Chama chake au wa upinzani kwa ujumla.

Mama Malecela anafaa kuwa kiongozi wa nafasi aliyo nayo sasa ya ubunge. Iwapo ana mikakati ya kugombea urais ni vyema atumie muda huu kujiimarisha kielimu na kisiasa.

Mods, mjadala unaweza kufungwa.

Nani kakupa mamlaka ya kufunga mjadala? Kwa hiyo umepima mawazo ya wanaJF ukaona kwamba wanataka mjadala ufungwe? Akili Ndogo,shule ndogo.

Wewe hapa umetaka mjadala ufungwe halafu still ukaendelea kuchangia,huna msimamo kama viongozi wako wa chama maanake wanachama kama wewe ndio hujitokeza hapo badae na kugombea udiwani na ubunge(hapa naona nikukweze kidogo)
 
Maandishi ya Bluu - - are you somehow suggesting kwamba elimu sio muhimu eti kwa kuwa fulani aliboronga basi ndio tung'oe kigezo cha elimu katika ugombeaji urais ? Thats a joke ! Au ndo kusema kwamba waafrica watano wakikosea, tuseme waafrica mbumbumbu ? after all, vitu ambavyo hao viongozi uliowataja hizo ni tabia zao, na tabia na elimu ni vitu viwili tofauti ! kama walifanya ufisadi, hiyo ni tabia either wangeenda darasani au wasingeenda darasani still wangekuwa vivyo hivyo !!

Speaking of STRONG ARGUMENT, this one is 100%...ama kweli JF ina vichwa.
 
Mkuu Kiga,
Hapa naona umetetea ujinga. Ni vema ukaelewa tofauti ya kuelimika, uwezo wa kujieleza na mtu kuwa na busara. Ukiwa na vyote vitatu unakuwa Clinton, Obama, Nyerere n.k., Ukiwa na busara na elimu kiasi unakuwa Mzee Rukhsa, Kenyata, n.k., ukiwa na elimu tu unakuwa kama Prof. Sarungi, ukiwa na mdomo mkubwa tu unaweza ukawa kama Mrema, Samuel Doe, Iddi Amin n.k.

Mdomo mkubwa utakuwezesha ku-mobilize watu lakini inapokuja masuala yanayohitaji kusoma ripoti na kutoa maamuzi, unakimbia kama alivyofanya Mbowe kule chuo UK.

kwanza zamani sana wazee wangu walinifundisha kwamba jina linasadifu mtu jinsi alivyo, lakini siamini kwamba ulichagua jina la "Kubwa jinga" kwa sababu ndivyo ulivyo!

Obama, Clinton Nyerere na wengine wote ni watu maalum sana kwa jamii zao. Lakini hawakufikia hapo kwa ajili ya kuwa na vitu hivyo vitatu ulivyovitaja. uwezo wa kujieleza,busara na elimu ni vitu visivyoshibana kabisa.

busara ni uzowefu wa mambo na jinsi ya kutumia historia kufikia hatima ya jambo. kujieleza inawezekana kabisa ikawa ni kipaji, lakini elimu si Usomi!

jifunze hapa: ujinga kinyume chake ni elimu,lakini usomi kinyume chake ni kutosoma,basi. Hoja yangu unaweza kuwa na elimu bila ya kusoma.
Hivi hujiulizi kabla ya kuanzishwa utaratibu wa kusoma na kuthibitishwa watu wa zama hizo walikuwa hawana elimu?
 
+kubwajinga,Field Marshal ES,Mwafrika wa Kike,Kuhani Mkuu,Mwanakijiji,

..UZALENDO, UZOEFU/REKODI YA UTENDAJI, EXPOSURE, na ELIMU, ni vitu muhimu kwa kiongozi yeyote atakayekuja Tanzania.

..ukiangalia viongozi karibu wote waliopo na waliotangulia wanatuletea matatizo kutokana na kukosa kigezo kimojawapo kati ya hivyo nilivyotaja.

..Rekodi ya utendaji ya Mkapa imeharibiwa na kukosa kwake uzalendo. sasa hivi hatujadili tena alijenga barabara kiasi gani, ni pesa kiasi gani amewezesha kupatikana kwa ajili ya elimu etc etc kutokana na wizi uliotokea mbele ya macho yake.

..Baba wa Taifa hakuwa na uzoefu. matokeo yake ndiyo maamuzi ya kuvunja vyama vya ushirika, serikali za mitaa, kuswaga wananchi kwenda vijiji vya ujamaa etc etc. maamuzi yote hayo yalikuja kubadilishwa, au kusitishwa, lakini madhara yake yalikuwa makubwa mno.

..Edward Sokoine pamoja na nia yake nzuri na uadilifu usiomithilika alikosa elimu na exposure. sidhani kama mchumi yeyote makini anaweza kutuhakikishia kwamba kampeni dhidi ya wahujumu uchumi ingeweza kutatua matatizo ya uhaba wa bidhaa. kama ni hivyo basi why waste our time, money, and resources implementing it? ukiangalia cost-benefit ya kampeni ile lazima itaishi na negative. naamini kabisa Sokoine angekuwa na exposure na elimu ndogo tu kuhusu uendeshaji uchumi asingechukua hatua alizochukua.

..linapokuja suala la elimu ndogo ninamkumbuka Mrema na Zakhia Meghji. Mzee Mrema alishindwa kuelewa jambo ndogo tu ktk katiba kwamba wadhifa wa Naibu Waziri Mkuu Tanzania ni sawa na kilemba cha ukoka. Mama Meghji aliyumba ktk kushughulikia mgomo wa Madaktari wa Muhimbili. Kiongozi wa mgomo alikuwa ni Daktari aliyekuwa likizo. Mama Meghji alijaribu kumfukuza kazi lakini akashindwa kwasababu technically mtu aliyeko likizo hawezi kugoma kazi!! jinsi alivyowa-handle Ballali na Mgonja inaonyesha madhara ya kupelea kielimu. hebu fikiria mambo madogo-madogo kama hayo yanamkwaza kiongozi vipi kuhusu maamuzi mazito?

NB:

..nchi yetu haina mfumo imara wa checks and balance. Raisi wetu akiwa mtu wa hovyo-hovyo hakuna chombo chochote kile kuhakikisha kwamba wananchi hatuathiriki wa kiwango kikubwa.
 
kwa sababu siamini kuwa form six wote duniani wanamiliki big Casinos!

Japo huwa nadhani mara nyingi uko wrong vibaya vibaya (kama ambavyo na wewe unanifikiria hivyo hivyo), hapa nasema sijaona mtu mwingine zaidi yako, aliyegusia entrepreneurial credentials za Mbowe, ambazo ndo labda zinahusiana zaidi na matatizo yetu ya Uchumi kuliko wakufunzi wa uchumi wa vitabuni wanaolipa madeni ya makampuni hewa halafu wanapotelea hospitali ( assuming hawakuiba ila walikosea tu kikazi katika kulipa madeni). Bonge la point umeme make hapo juu!

Watu wote ambao wana overlook professional experience za Mbowe na kuangalia Elimu ya Form VI na Ukarani wa BOT, kutoka kwenye crummy website ya Bunge, hawajui maana ya CV.

Ndo maana nikauliza CV ni nini, halafu nikauliza kwa nini watu wanaongelea Form VI na Ukarani wa BOT kama ndio CV ya Mbowe peke yake, hakuna aliyenijibu. Ni kwa sababu watu hawajui maana ya CV. Kile ki document kilichopo kwenye Website feki ya Bunge sio CV kamili ya Mbowe. Na CV zinaandikwa kutegemeana na unaomba kazi wapi. Na unavyotathmini "CV" ya Mwanasiasa, huangalii CV iliyopo kwenye karatasi moja. CV ya Obama ya kuombea kazi haisemi kwamba alipiga kura 4000 katika Bunge la Illinois. Lakini hiyo ni sehemu ya experience yake ya kisiasa. CV ya kisiasa haindikwi kwenye karatasi moja.

Hata hivyo, binafsi naamini Mbowe hafai kuwa Rais, lakini sio kwa vi sababu ya "CV". Elimu ya Form VI na Ukarani wa BOT sio "CV" kamili ya Mbowe, kama CV manake uzoefu, ujuzi na elimu yote.
 
Mkuu ndio maana ninasema kuwa wenye uchugnu na taifa, wanahitaji kuweka siasa za vyma pembeni na kujaribu kutafuta solution ya taifa na uongozi, binafsi I am open na kuongozwa na form six labda kutakuwa na positive changes kwa taifa,

kwa sababu siamini kuwa form six wote duniani wanamiliki big Casinos!

Nina imani ata wewe unauchungu na taifa. Lakini tumefikia hatua yakutaka kushusha sifa za hii nafasi basi ilimradi Mbowe apate kuingia, kwa upeo gani? Kesho mtasema wasomi wote ni mafisadi kwa sababu Ballali, Lowassa nk ni mafisadi na niwasomi. Hiyo big Casino unayoizungumzia iko wapi?, au unamanisha ukumbi wa musiki billicanas. Je unajua ameupataje ? kama ni urithi au utapeli je?

Hiyo form six kwanza ya division ngapi?
Mbowe kwa kupigia debe daladala pale kariakoo ahha apo anafaa.
Huyu opportunist, tapeli mkubwa, leo anajifanya anauchungu na nchi.
 
Back
Top Bottom