Doctor Mama Amon
JF-Expert Member
- Mar 30, 2018
- 2,089
- 2,725
Maria Waningu Gabriel Magige aliyezaliwa 31 December 1930: Kutimiza miaka 94 ifikapo 31 Desemba 2023
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
View attachment 2788689
Maria Waningu Gabriel Magige aliyezaliwa 31 December 1930: Kutimiza miaka 94 ifikapo 31 Desemba 2023
View attachment 2788686
View attachment 2788675
View attachment 2788688
View attachment 2788692
View attachment 2788672
View attachment 2788677
View attachment 2788678
Mfano mama yko mzazi,kahaba wa mtaaWengine ni mafisadi wa taifa au makahaba wa taifa ndiyo cheo wanacho stahiki
View attachment 2788689
Maria Waningu Gabriel Magige aliyezaliwa 31 December 1930: Kutimiza miaka 94 ifikapo 31 Desemba 2023
View attachment 2788686
View attachment 2788675
View attachment 2788688
View attachment 2788692
View attachment 2788672
View attachment 2788677
View attachment 2788678
Kwani kuwa Mke wa Nyerere ndio sifa y kuwa mama wa Taifa?
Watanzania tuna changamoto ya kutafsiri maneno ya kiingereza kuja kwenye kiswahili.
Neno father = founder = mwanzilishi.
Ukisema father of a nation = founder of a nation = mwanzilishi wa taifa.
Kwa vile Nyerere alikuwa mwanzilishi wa taifa, It doesnt translate kuwa Maria alikuwa muanzilishi mwenza au co-founder au 'mama, kama wengi wanavyotafsiri- wa taifa). Hakuna cheo kama hicho.
kwenye familia akifa baba anabaki mama wa familia sivyo, nyerere kafa anabakia mama, mama wa taifa.Umeuliza, "Kwani kuwa Mke wa Nyerere ndio sifa ya [kumfanya mtu] kuwa Mama wa Taifa?"
Jawabu ni "Hapana."
Sifa ya kumfanya mtu kuwa Mama wa Taifa ni ushiriki wake katika ujasiriadola akiwa bega kwa bega na Baba wa Taifa.
Kwa hiyo mke wa Profesa naye ni profesa? Mke wa mwanajeshi naye ni mwanajeshi?Mke wa Baba wa Taifa, aliyemwoa tangu mwanzo wa harakati za kutafuta uhuru, ni Mama wa Taifa tu.
Hilo nalo ni gumu kueleweka?
Kwa hiyo mke wa Profesa naye ni profesa? Mke wa mwanajeshi naye ni mwanajeshi?
Mbona unakuwa mgumu kuelewa na kupenda kulazimisha mambo?