DustBin
JF-Expert Member
- Jun 3, 2021
- 628
- 609
- Thread starter
- #21
Duh.!Watendaji wengi wa serikali ndivyo walivyo wamejaa vitisho, nilishuhudia hilo kwa boss mmoja wa idara fulani akimhamasisha dereva kukimbiza gari kuwahi waendako, mbaya zaidi kuna baadhi ya maeneo alikuwa anamwamuru kabisa, "ongeza mwendo hapo overtake achana na mistari, ..."