Kama mambo ni hivi basi elimu yetu itaendelea kuwa ya chini miaka na miaka

Duh.!
 
Hili lilikuwapo enzi na enzi ndo unalisikia Leo
Hiyo ya zamani sishangai.., ndio ilikua hivo. Ila saivi mambo yameshabadilika na tumeingia kwenye wakati mwingine ambapo dunia imepevuka ndio naona ajabu huu upuuzi ukiendelea na watendaji wakiupigia chapuo kwenye vikao vya siri. Lakija kwenye public wanajifanya wasafi fm. Hahahah
 
DustBin:

Ukweli usiosemwa.
 
Mbona ni kawaida sana hiyo. " Vamps are there to bite!" Usipodanganya unadanganywa, chaguo ni lako."If you don't cheat, you get cheated. Just, make choice stop complaining!"
 
Ndiyo ujue hivyo haya mambo yapo Sana tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…