Kama maneno yake mnasema ndo yalisabaisha ghasia za October 29 Je kumnyonga?

Kama tu maneno yake tu mpaka leo mnasema ndo yalisababisha vurugu za October 29. Je kumnyonga si ndo itakua balaah huyo mzee mwachieni aende zake .
kutoka kesi ya mchongo hadi kuomba poo?

kweli maisha yanaenda kwa kasi sana aise :pedroP:
 
Ghasia sio uhaini. 😊
Ndio maana unaona Mahakama ilijizuia kufika kwenye Oktoba 29. Shahidi ambaye alitakiwa kushuhudia ya Oktoba 29 ushahidi wake ulikataliwa (Upande wa Mashitaka ulikwenda mpaka mahakama ya rufaa), wakaangukia pua.

Ni hivi; Mahakama hii, haijui ya Oktoba 29, haikuyasikiliza. Haiwezi kumhukumu kwa mambo ambayo haikuyasikiliza. Kesi nzima hakuna mambo ya Oktoba 29, hayakuwepo toka kwenye usikilizaji wa awali "Committal proceedings" mahakama ya chini. Mahakama haiwezi mhukumu mtu ka mambo ambayo hayajaletwa mahakamani wala haijayasikiliza. 😊

Lissu hii kesi anachomoka; kama sio mahakama hii basi ya rufaa. Na sababu ni ushahidi kutojitosheleza kumtia hatihani pasipo kuacha shaka.
 
Naam
 
Back
Top Bottom