Kama maneno yake mnasema ndo yalisabaisha ghasia za October 29 Je kumnyonga?

..kitendo cha kumshtaki kimepelekea Lissu apendwe, na umaarufu wake umeongezeka.

..Lissu amevuka viwango vya kuhukumiwa na mahakama, ameingia ktk historical figures wa Tanzania.

Hiki ndo watu wengi hawakijuhi
 
Hawezi kunyongwa (Kwa maoni yangu), kulingana na kesi hii na mwenendo wa ushahidi na mashahidi. Hakuna ushahidi wa kumnyonga mtu mpaka sasa.

..wanaweza kumhukumu kunyongwa ili kumpa nafasi Mama amsamehe.

..tatizo ni kwamba mahakama yetu itapoteza sifa kitaifa na kimataifa, na jamaa atazidi kupendwa.
 
Mkuu, mhusika ameshakiri wazi na kuonyesha msimamo toka awali; kwamba atasimamia haki yake ipatikane kwa njia ya mahakama. Kuna mtego mahakama imetegwa na bila shaka itanasa. 😊
 
Hawezi kunyongwa (Kwa maoni yangu), kulingana na kesi hii na mwenendo wa ushahidi na mashahidi. Hakuna ushahidi wa kumnyonga mtu mpaka sasa.
Anaweza kuhukumiwa kunyongwa kwa maelekezo kama ilivyoelekezwa kwenye kesi ya kujibu wakati hata mbumbumbu anajua ni kesi ya mchongo ya wanasiasa kutumia dola kubaki madarakani
 
Hivi Rais anayo mamlaka ya kumsamehe mtu aliyepatikana na kesi ya uhaini ?
 
Kama tu maneno yake tu mpaka leo mnasema ndo yalisababisha vurugu za October 29. Je kumnyonga si ndo itakua balaah huyo mzee mwachieni aende zake .
Na kama mpaka leo mnalialia kuwa "mlishughulikiwa kupita kiasi" hiyo Oktoba 29, fikiria mkileta fyokofyoko baada ya hukumu ndio itakuwaje ukichukulia ya kwamba na sisi wananchi tuliohathirika na wizi na uporaji nasi tumejipanga kuzilinda familia zetu, mali zetu na amani ya mitaani kwetu.

Kifupi tu, mnajipanga, Serikali inajipanga na sisi wananchi wapenda amani tunajipanga! Na mwishoni tusisikie mtu analialia kama Oktoba 29!
 
..wanaweza kumhukumu kunyongwa ili kumpa nafasi Mama amsamehe.

..tatizo ni kwamba mahakama yetu itapoteza sifa kitaifa na kimataifa, na jamaa atazidi kupendwa.

Na kusamehewa akikataa?
 
Anaweza kuhukumiwa kunyongwa kwa maelekezo kama ilivyoelekezwa kwenye kesi ya kujibu wakati hata mbumbumbu anajua ni kesi ya mchongo ya wanasiasa kutumia dola kubaki madarakani

Kesi ya ovyo kabisa
 
Na kama mpaka leo mnalialia kuwa "mlishughulikiwa kupita kiasi" hiyo Oktoba 29, fikiria mkileta fyokofyoko baada ya hukumu ndio itakuwaje ukichukulia ya kwamba na sisi wananchi tuliohathirika na wizi na uporaji nasi tumejipanga kuzilinda familia zetu, mali zetu na amani ya mitaani kwetu.

Kifupi tu, mnajipanga, Serikali inajipanga na sisi wananchi wapenda amani tunajipanga! Na mwishoni tusisikie mtu analialia kama Oktoba 29!

Wewe mwananchi wa wapi chawa huna lolote zaidi kulamba makalio watu
 
Back
Top Bottom