Kama Mangungu alijua hana nguvu yoyote Simba,kwa nini alitoa ahadi ya kuwafunga yanga?

Cashman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
3,333
Reaction score
5,845
Ninaona baadhi ya waandishi nadhani waliolipwa kuchochea moto pale Simba wakitumia nguvu kubwa kumtetea mangungu.

Wakati Mangungu akiahidi kuifunga yanga,hakuna aliyeleta uchambuzi kumsuta mtoa ahadi kwa kujaribu kuwarubuni wanachama huku akijua wazi kwamba hana hizo nguvu za kuamua Simba ishinde ama isishinde.
Kuna wale waliomchagua wakishangilia kwa ahadi zake hizo.Naamini umbumbumbu wa mashabiki unaanzia hapo!

Nafasi ya uenyekiti kama haina nguvu,aliwezaje kuipeleka timu ikulu bika CEO kuwepo?Kwa nini aliridhia maamuzi ya kusogezwa tarehe wakati hana nguvu ya kimaamuzi pale Simba?

Je hana jukumu lolote kuwashawishi wachezaji wake kuwa na moyo wa uzalendo na kupambania timu?Kwa nini iwe rahisi wachezaji wa Simba kushawishiwa kuhujumu timu wakati upande wa pili tunaona watu wakifia timu huku wakiidai madeni makubwa tu?

Kama nafasi yake haina maana na anapuuzwa,kwa nini asirudishe taarifa Kwa waliomchagua na matokeo yake atumie waandishi kumsemea?

Kwa nini mangungu hana kauli nzuri na amejaa ujeuri wa wanasiasa? Je hili haliwezi kuwa tatizo kwa wachezaji pia?

Kwa nini asijitahimini tu hata kama anadhani anaonewa ajiuzulu kwa kauli zake tu za kujaribu kuwarubuni wapiga kura kwamba ana uwezo wa kuifunga yanga?Wakati anaahidi hivi alikuwa akitamani kucheza nafasi gani uwanjani?
 
SportsXtra | @luambano77

“Msimu uliopita Simba ilifeli lawama akapewa mwenyekiti Mangungu na Mwenyekiti wa Bodi Tyragain , mwisho wa siku Tryagain akajiuzulu”

“Msimu huu Simba imefeli Mwenyekiti ni Mangungu na Mwenyekiti wa Bodi ni Mo lakini analaumiwa Mangungu peke yake kwa nini Mo alaumiwi ?”
 
Nyie ni wapumbavu kwahiyo mlimchagua kwasababu ya kumfunga yanga na sio kuchukua vikombe!, kwahiyo angemfunga yanga msingemlum?.

Ulitegemea awaambieni kipi ambacho kingefanya mmchague ili hali anajua nyie ni mbumbu hamfikiri mbali?, kwani mangungu anacheza namba ngapi?.
 
Leo nataka niwaumize mashabiki wa simba.
Kama kila kitu kingekaa sawa wachezaji wafuatao Leo wangekuwa Simba.

1. Khalid Aucho.
2. Azizi Ki.
3. Mudahir yahya.
4. Bakari Nondo mwamnyeto.
5. Pakome Zizu.
6. Max Nzengeli.

Yanga wanatembea na Copy ya simba kwenye kila kitu.
Uwekezaji.
Matamasha.
Uozngozi.
Usajili nk
Kila kitu huwa wanacopy msimbazi.
 
Ninaona baadhi ya waandishi nadhani waliolipwa kuchochea moto pale Simba wakitumia nguvu kubwa kumtetea mangungu.

Wakati Mangungu akiahidi kuifunga yanga,hakuna aliyeleta uchambuzi kumsuta mtoa ahadi kwa kujaribu kuwarubuni wanachama huku akijua wazi kwamba hana hizo nguvu za kuamua Simba ishinde ama isishinde.
Kuna wale waliomchagua wakishangilia kwa ahadi zake hizo.Naamini umbumbumbu wa mashabiki unaanzia hapo!

Nafasi ya uenyekiti kama haina nguvu,aliwezaje kuipeleka timu ikulu bika CEO kuwepo?Kwa nini aliridhia maamuzi ya kusogezwa tarehe wakati hana nguvu ya kimaamuzi pale Simba?

Je hana jukumu lolote kuwashawishi wachezaji wake kuwa na moyo wa uzalendo na kupambania timu?Kwa nini iwe rahisi wachezaji wa Simba kushawishiwa kuhujumu timu wakati upande wa pili tunaona watu wakifia timu huku wakiidai madeni makubwa tu?

Kama nafasi yake haina maana na anapuuzwa,kwa nini asirudishe taarifa Kwa waliomchagua na matokeo yake atumie waandishi kumsemea?

Kwa nini mangungu hana kauli nzuri na amejaa ujeuri wa wanasiasa? Je hili haliwezi kuwa tatizo kwa wachezaji pia?

Kwa nini asijitahimini tu hata kama anadhani anaonewa ajiuzulu kwa kauli zake tu za kujaribu kuwarubuni wapiga kura kwamba ana uwezo wa kuifunga yanga?Wakati anaahidi hivi alikuwa akitamani kucheza nafasi gani uwanjani?
Jifunze kuhusu SMART goals

Mtoto wako wa Miaka 4 akikwambia baba nataka kununua gari utamuamini?

Mimi nitamuuliza
1. Gari la aina gani
2. Utalinunua lini na wapi
3. Nitamuuliza kiasi, (thamani ya hilo gari)
4. Kwasababu ni mtoto wangu nitamuuliza chanzo chake cha pesa

Kwa maswali haya nitapata muuongozo kama anachosema ni kweli
 
Ninaona baadhi ya waandishi nadhani waliolipwa kuchochea moto pale Simba wakitumia nguvu kubwa kumtetea mangungu.

Wakati Mangungu akiahidi kuifunga yanga,hakuna aliyeleta uchambuzi kumsuta mtoa ahadi kwa kujaribu kuwarubuni wanachama huku akijua wazi kwamba hana hizo nguvu za kuamua Simba ishinde ama isishinde.
Kuna wale waliomchagua wakishangilia kwa ahadi zake hizo.Naamini umbumbumbu wa mashabiki unaanzia hapo!

Nafasi ya uenyekiti kama haina nguvu,aliwezaje kuipeleka timu ikulu bika CEO kuwepo?Kwa nini aliridhia maamuzi ya kusogezwa tarehe wakati hana nguvu ya kimaamuzi pale Simba?

Je hana jukumu lolote kuwashawishi wachezaji wake kuwa na moyo wa uzalendo na kupambania timu?Kwa nini iwe rahisi wachezaji wa Simba kushawishiwa kuhujumu timu wakati upande wa pili tunaona watu wakifia timu huku wakiidai madeni makubwa tu?

Kama nafasi yake haina maana na anapuuzwa,kwa nini asirudishe taarifa Kwa waliomchagua na matokeo yake atumie waandishi kumsemea?

Kwa nini mangungu hana kauli nzuri na amejaa ujeuri wa wanasiasa? Je hili haliwezi kuwa tatizo kwa wachezaji pia?

Kwa nini asijitahimini tu hata kama anadhani anaonewa ajiuzulu kwa kauli zake tu za kujaribu kuwarubuni wapiga kura kwamba ana uwezo wa kuifunga yanga?Wakati anaahidi hivi alikuwa akitamani kucheza nafasi gani uwanjani?
Wewe hujui lolote kuhusu mpira
 
Kweli Rage hakukosea unamchagua mtu kwa ahadi ya kuifunga yanga nanyi mnakubali.Kwahiyo Alisha ifunga hata kama atakosa ubingwa kwenu ndiyo maendeleo.
 
Back
Top Bottom