ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Ushauri: Kuendelea kuwabana bana kuwazonga zonga ni kuwapa promotion na attention ambayo hawakustahili.
Kama walivyoachwa wakati ule hata Sasa Wakiachwa hakuna Cha maana watapata ila kuwazonga ni kuwapa attention kubwa bila sababu za msingi.
Mwisho Gen Z hailetwi na Wanasiasa Bali huzuiwa yenyewe automatically,so nashauri waachwe na ulinzi Wapewe watapoteana wenyewe kama kipindi kile.
My Take
Wakizingua washughulikiwe accordhly.
Pia soma:Kuelekea 2025 - Msajili apiga Marufuku Kongamano la CHADEMA mkoani Mbeya, asema matamko yao yanahusisha vitendo vya uvunjifu wa amani