Pre GE2025 Kama Mara ya Kwanza Waliachwa Wakaandamana, Wakiachwa tena na Sasa na Wakapewa Ulinzi Kuna shida Gani?

Pre GE2025 Kama Mara ya Kwanza Waliachwa Wakaandamana, Wakiachwa tena na Sasa na Wakapewa Ulinzi Kuna shida Gani?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kuna shida ambayo aina ya watu kama wewe na Lucas Mchamwa mnajifanya hamuioni. CCM kwenye usawa wa haki haiwezi ku survive....Magufuli aliona hilo na Mama naye pia anapita njia ileile ....ila hata toboa kwa muda mrefu. Taifa lingekuwa na wazee tu labda angefanikiwa kwa kiasi fulani
Tanzania hii au Nchi gani?
 
Ile Strategy ya Samia ya kutuacha tuandamane kwa AMANI ilikuwa imeanza kunitisha.

Confrontational Politics ndio ushindi kwetu Camera za Dunia nzima zimeelekezwa Tanzania kwa sasa😁

Mungu atupe nini..
 
Ushauri: Kuendelea kuwabana bana kuwazonga zonga ni kuwapa promotion na attention ambayo hawakustahili.

Kama walivyoachwa wakati ule hata Sasa Wakiachwa hakuna Cha maana watapata ila kuwazonga ni kuwapa attention kubwa bila sababu za msingi.

Mwisho Gen Z hailetwi na Wanasiasa Bali huzuiwa yenyewe automatically,so nashauri waachwe na ulinzi Wapewe watapoteana wenyewe kama kipindi kile.

My Take
Wakizingua washughulikiwe accordhly.

Pia soma:Kuelekea 2025 - Msajili apiga Marufuku Kongamano la CHADEMA mkoani Mbeya, asema matamko yao yanahusisha vitendo vya uvunjifu wa amani
Tatizo huko mawazo yako watayachukua? Until then wanawaza kuwabana tu, ndio wanazidi kuwafanya waonekane innocent mbele ya umma hata kama wana makosa
 
Ile Strategy ya Samia ya kutuacha tuandamane kwa AMANI ilikuwa imeanza kunitisha.

Confrontational Politics ndio ushindi kwetu Camera za Dunia nzima zimeelekezwa Tanzania kwa sasa😁

Mungu atupe nini..
Kamera za dunia zimeelekezwa tanzania? Kaka are you for real? Huko nchi zilizoendelea wana deal na ishu kubwa sana, wako so busy , waache kazi zao wa deal na politics za tz kweli? Comeon
 
Kamera za dunia zimeelekezwa tanzania? Kaka are you for real? Huko nchi zilizoendelea wana deal na ishu kubwa sana, wako so busy , waache kazi zao wa deal na politics za tz kweli? Comeon
Nilikuwa naangalia Aljazeera BBC na baadhi ya International Media zinaongelea tukio la KUTISHA la Mbeya.
 
Back
Top Bottom