Pre GE2025 Kama Mara ya Kwanza Waliachwa Wakaandamana, Wakiachwa tena na Sasa na Wakapewa Ulinzi Kuna shida Gani?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ccm inacheza sebene bila kujua disco lenyewe linapigwa wapi, mnaruhusu Msigwa awe mshauri kwenye mambo nyeti , shauri zenu anawapeleka chaka uyo, badala ya kuwasha kijani sasa anaunguza fuzi hazitawaka tena Tunzeni hii ccm.
Tunazima zote na kuwasha kijani tupu.
 
Mapema mwaka huu walijizungusha huku na kule bila bila ,hata Sasa hawana jipya so waoindwe tuu ila wakileta vurugu wadhibitiwe.

Kuwazonga zonga ni kuwapa attention isiyo na msingi.

Pia waache kuandamana katikati ya Barabara kuu wanazuia shughuli,waandamane Barabara za pembeni ,hakuna kitu kitatokea Watanzania sio wapumbavu.
Chura kiziwi ni mwoga sana
 
Hakuna uhatari wowote kama yana kibali ila kama ni ya kulazimisha washughulikiwe
Kwani wewe si ngedere tu mbele ya Mungu ROSTAM AZIZI nani kakupa ruhusa kubishana naye ...tutakupeleka burundi.
 
Chama chenu dhaifu Sana... Bila ya uhuni huu mnaoufanya kwa kutumia Dola, hamuwezi kutoboa.
CCM ndio chama kiongozi Barani Afrika na kilichobeba matumaini ya mamilioni ya watanzania na tegemeo la pekee barani Afrika katika kufundisha Masuala ya uongozi
 
Ushauri: Kuendelea kuwabana bana kuwazonga zonga ni kuwapa promotion na attention ambayo hawakustahili.

Kama walivyoachwa wakati ule hata Sasa Wakiachwa hakuna Cha maana watapata ila kuwazonga ni kuwapa attention kubwa bila sababu za msingi.

Mwisho Gen Z hailetwi na Wanasiasa Bali huzuiwa yenyewe automatically,so nashauri waachwe na ulinzi Wapewe watapoteana wenyewe kama kipindi kile.

My Take
Wakizingua washughulikiwe accordhly.

View: https://twitter.com/Jambotv_/status/1822623248883839113?t=_YQlTm6V_eoGAIIyAv9c-g&s=19

Pia soma:Kuelekea 2025 - Msajili apiga Marufuku Kongamano la CHADEMA mkoani Mbeya, asema matamko yao yanahusisha vitendo vya uvunjifu wa amani

Kama kawaida yenu ccm kuopapa ogopa mkiona harakati za upinzani
Ipo siku mtaitema Dola siku si nyingi
 
Ushauri: Kuendelea kuwabana bana kuwazonga zonga ni kuwapa promotion na attention ambayo hawakustahili.

Kama walivyoachwa wakati ule hata Sasa Wakiachwa hakuna Cha maana watapata ila kuwazonga ni kuwapa attention kubwa bila sababu za msingi.

Mwisho Gen Z hailetwi na Wanasiasa Bali huzuiwa yenyewe automatically,so nashauri waachwe na ulinzi Wapewe watapoteana wenyewe kama kipindi kile.

My Take
Wakizingua washughulikiwe accordhly.

View: https://twitter.com/Jambotv_/status/1822623248883839113?t=_YQlTm6V_eoGAIIyAv9c-g&s=19

Pia soma:Kuelekea 2025 - Msajili apiga Marufuku Kongamano la CHADEMA mkoani Mbeya, asema matamko yao yanahusisha vitendo vya uvunjifu wa amani

Machoko hayataisha Nchi hii
 
Ameanza kujutia aliyokuwa anayaongoza.
 
Kuna shida ambayo aina ya watu kama wewe na Lucas Mchamwa mnajifanya hamuioni. CCM kwenye usawa wa haki haiwezi ku survive....Magufuli aliona hilo na Mama naye pia anapita njia ileile ....ila hata toboa kwa muda mrefu. Taifa lingekuwa na wazee tu labda angefanikiwa kwa kiasi fulani
 
Back
Top Bottom