ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Mapema mwaka huu walijizungusha huku na kule bila bila ,hata Sasa hawana jipya so waoindwe tuu ila wakileta vurugu wadhibitiwe.Naunga mkono kabisa. Tena wakileta za kuleta washughulikiwe kisawasawa.
Bavicha siyo wa kuwachukulia poa 😀Nilikuwa siamini kama hili limetokea. Maana ndio naamka na mahangover ya Balimi Extra Lager maama huku kwetu Igunga ni Balimi ja supu ya kuku.
Yaani kongamano la vijana nalo linazua taharuki mpaka kamishina mkuu wa mafunzo anatoa tamko?
Je siku wakiitisha maandamano kama hale ya Kenya?
Any way vijana wa Mbowe bado wqna nguvu kiana.
Nakuunga Mkono.Mapema mwaka huu walijizungusha huku na kule bila bila ,hata Sasa hawana jipya so waoindwe tuu ila wakileta vurugu wadhibitiwe.
Kuwazonga zonga ni kuwapa attention isiyo na msingi.
Pia waache kuandamana katikati ya Barabara kuu wanazuia shughuli,waandamane Barabara za pembeni ,hakuna kitu kitatokea Watanzania sio wapumbavu.
Ccm akili ndogoUshauri: Kuendelea kuwabana bana kuwazonga zonga ni kuwapa promotion na attention ambayo hawakustahili.
Kama walivyoachwa wakati ule hata Sasa Wakiachwa hakuna Cha maana watapata ila kuwazonga ni kuwapa attention kubwa bila sababu za msingi.
Mwisho Gen Z hailetwi na Wanasiasa Bali huzuiwa yenyewe automatically,so nashauri waachwe na ulinzi Wapewe watapoteana wenyewe kama kipindi kile.
My Take
Wakizingua washughulikiwe accordhly.
Pia soma:Kuelekea 2025 - Msajili apiga Marufuku Kongamano la CHADEMA mkoani Mbeya, asema matamko yao yanahusisha vitendo vya uvunjifu wa amani
CCM inaingiaje hapo? Ni Polisi ndio wahusikaCcm akili ndogo
Haya umeyatoa wapi? Unaweza thibitisha?Mama hajiamini tena pamoja na kumwaga rushwa ya mabilioni ya abdul, kaanza tabia za mwendazake
Zile 4R tupa lule
Kwani Wana jipya gani? Waliokuwa wanaandamana wakati ule hao Bavicha hawakuwepo?Bavicha siyo wa kuwachukulia poa 😀
Ujasiri wa kufanya nini? Kwa mfano hao wa Machadema Ujasiri wao ni upi?Huko kijani vijana wengi hawajitambui wao ni Uchawa tu....vijana Majasiri na Makini ni enzi za Nyerere
Hata wangeitisha maandamano sijui ya wapi hayawezi kutokea Kwa sababu Gen Z sio ya chama.Nilikuwa siamini kama hili limetokea. Maana ndio naamka na mahangover ya Balimi Extra Lager maama huku kwetu Igunga ni Balimi ja supu ya kuku.
Yaani kongamano la vijana nalo linazua taharuki mpaka kamishina mkuu wa mafunzo anatoa tamko?
Je siku wakiitisha maandamano kama yale ya Kenya?
Any way vijana wa Mbowe bado wqna nguvu kiana.
Ujinga ni mzigo sanaaaNaunga mkono kabisa. Tena wakileta za kuleta washughulikiwe kisawasawa.
BWANA ROSTAM AZIZI KASEMA KWA SASA MAANDAMANO NI MARUFUKU KWA SABABU HII GER Z NI HATARI KWA KOLONI LAKE LA TANGANYIKA KUPITIA KAMPUNI YAKE YA CCMUshauri: Kuendelea kuwabana bana kuwazonga zonga ni kuwapa promotion na attention ambayo hawakustahili.
Kama walivyoachwa wakati ule hata Sasa Wakiachwa hakuna Cha maana watapata ila kuwazonga ni kuwapa attention kubwa bila sababu za msingi.
Mwisho Gen Z hailetwi na Wanasiasa Bali huzuiwa yenyewe automatically,so nashauri waachwe na ulinzi Wapewe watapoteana wenyewe kama kipindi kile.
My Take
Wakizingua washughulikiwe accordhly.
Pia soma:Kuelekea 2025 - Msajili apiga Marufuku Kongamano la CHADEMA mkoani Mbeya, asema matamko yao yanahusisha vitendo vya uvunjifu wa amani
Hakuna uhatari wowote kama yana kibali ila kama ni ya kulazimisha washughulikiweBWANA ROSTAM AZIZI KASEMA KWA SASA MAANDAMANO NI MARUFUKU KWA SABABU HII GER Z NI HATARI KWA KOLONI LAKE LA TANGANYIKA KUPITIA KAMPUNI YAKE YA CCM
Ccm inacheza sebene bila kujua disco lenyewe linapigwa wapi, mnaruhusu Msigwa awe mshauri kwenye mambo nyeti , shauri zenu anawapeleka chaka uyo, badala ya kuwasha kijani sasa anaunguza fuzi hazitawaka tena Tunzeni hii ccm.Ushauri: Kuendelea kuwabana bana kuwazonga zonga ni kuwapa promotion na attention ambayo hawakustahili.