ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
-
- #21
Tunazima zote na kuwasha kijani tupu.Ccm inacheza sebene bila kujua disco lenyewe linapigwa wapi, mnaruhusu Msigwa awe mshauri kwenye mambo nyeti , shauri zenu anawapeleka chaka uyo, badala ya kuwasha kijani sasa anaunguza fuzi hazitawaka tena Tunzeni hii ccm.
Chura kiziwi ni mwoga sanaMapema mwaka huu walijizungusha huku na kule bila bila ,hata Sasa hawana jipya so waoindwe tuu ila wakileta vurugu wadhibitiwe.
Kuwazonga zonga ni kuwapa attention isiyo na msingi.
Pia waache kuandamana katikati ya Barabara kuu wanazuia shughuli,waandamane Barabara za pembeni ,hakuna kitu kitatokea Watanzania sio wapumbavu.
Mwoga wa nini? Mbona wakati ule mliandamana chini ya ulinzi?Chura kiziwi ni mwoga sana
Chama chenu dhaifu Sana... Bila ya uhuni huu mnaoufanya kwa kutumia Dola, hamuwezi kutoboa.Naunga mkono kabisa. Tena wakileta za kuleta washughulikiwe kisawasawa.
Kwani wewe si ngedere tu mbele ya Mungu ROSTAM AZIZI nani kakupa ruhusa kubishana naye ...tutakupeleka burundi.Hakuna uhatari wowote kama yana kibali ila kama ni ya kulazimisha washughulikiwe

CCM ndio chama kiongozi Barani Afrika na kilichobeba matumaini ya mamilioni ya watanzania na tegemeo la pekee barani Afrika katika kufundisha Masuala ya uongoziChama chenu dhaifu Sana... Bila ya uhuni huu mnaoufanya kwa kutumia Dola, hamuwezi kutoboa.
Kwahiyo wewe unajua kuliko Kamanda Awadh?Kwani Wana jipya gani? Waliokuwa wanaandamana wakati ule hao Bavicha hawakuwepo?
Una macho huoni dogo?Haya umeyatoa wapi? Unaweza thibitisha?
Dogo ccm inakuuma sana ilisemwa kwa tabia zake chafu, sisi baba zako tulikuwa ccm kabla hujazaliwa tunaijua nje ndaniCCM inaingiaje hapo? Ni Polisi ndio wahusika
Kama kawaida yenu ccm kuopapa ogopa mkiona harakati za upinzaniUshauri: Kuendelea kuwabana bana kuwazonga zonga ni kuwapa promotion na attention ambayo hawakustahili.
Kama walivyoachwa wakati ule hata Sasa Wakiachwa hakuna Cha maana watapata ila kuwazonga ni kuwapa attention kubwa bila sababu za msingi.
Mwisho Gen Z hailetwi na Wanasiasa Bali huzuiwa yenyewe automatically,so nashauri waachwe na ulinzi Wapewe watapoteana wenyewe kama kipindi kile.
My Take
Wakizingua washughulikiwe accordhly.
View: https://twitter.com/Jambotv_/status/1822623248883839113?t=_YQlTm6V_eoGAIIyAv9c-g&s=19
Pia soma:Kuelekea 2025 - Msajili apiga Marufuku Kongamano la CHADEMA mkoani Mbeya, asema matamko yao yanahusisha vitendo vya uvunjifu wa amani
Machoko hayataisha Nchi hiiUshauri: Kuendelea kuwabana bana kuwazonga zonga ni kuwapa promotion na attention ambayo hawakustahili.
Kama walivyoachwa wakati ule hata Sasa Wakiachwa hakuna Cha maana watapata ila kuwazonga ni kuwapa attention kubwa bila sababu za msingi.
Mwisho Gen Z hailetwi na Wanasiasa Bali huzuiwa yenyewe automatically,so nashauri waachwe na ulinzi Wapewe watapoteana wenyewe kama kipindi kile.
My Take
Wakizingua washughulikiwe accordhly.
View: https://twitter.com/Jambotv_/status/1822623248883839113?t=_YQlTm6V_eoGAIIyAv9c-g&s=19
Pia soma:Kuelekea 2025 - Msajili apiga Marufuku Kongamano la CHADEMA mkoani Mbeya, asema matamko yao yanahusisha vitendo vya uvunjifu wa amani
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kama kawaida yenu ccm kuopapa ogopa mkiona harakati za upinzani
Ipo siku mtaitema Dola siku si nyingi
Bendera fuata upepo bana, yaani hadi unakuwa kama demu wa kipemba😂Nakuunga Mkono.
Jikite kwenye hoja wewe nyumbu mzeeBendera fuata upepo bana, yaani hadi unakuwa kama demu wa kipemba😂
Tulia ww 🌈 utakuja kupakatwa bure.Jikite kwenye hoja wewe nyumbu mzee
Ameanza kujutia aliyokuwa anayaongoza.Ushauri: Kuendelea kuwabana bana kuwazonga zonga ni kuwapa promotion na attention ambayo hawakustahili.
Kama walivyoachwa wakati ule hata Sasa Wakiachwa hakuna Cha maana watapata ila kuwazonga ni kuwapa attention kubwa bila sababu za msingi.
Mwisho Gen Z hailetwi na Wanasiasa Bali huzuiwa yenyewe automatically,so nashauri waachwe na ulinzi Wapewe watapoteana wenyewe kama kipindi kile.
My Take
Wakizingua washughulikiwe accordhly.
View: https://twitter.com/Jambotv_/status/1822623248883839113?t=_YQlTm6V_eoGAIIyAv9c-g&s=19
Pia soma:Kuelekea 2025 - Msajili apiga Marufuku Kongamano la CHADEMA mkoani Mbeya, asema matamko yao yanahusisha vitendo vya uvunjifu wa amani
Mzee wa matukio ya shambulio la aibu 🤣🤣Tulia ww 🌈 utakuja kupakatwa bure.
Kuna shida ambayo aina ya watu kama wewe na Lucas Mchamwa mnajifanya hamuioni. CCM kwenye usawa wa haki haiwezi ku survive....Magufuli aliona hilo na Mama naye pia anapita njia ileile ....ila hata toboa kwa muda mrefu. Taifa lingekuwa na wazee tu labda angefanikiwa kwa kiasi fulaniUshauri: Kuendelea kuwabana bana kuwazonga zonga ni kuwapa promotion na attention ambayo hawakustahili.