Pre GE2025 Kama Mara ya Kwanza Waliachwa Wakaandamana, Wakiachwa tena na Sasa na Wakapewa Ulinzi Kuna shida Gani?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Tanzania hii au Nchi gani?
 
Ile Strategy ya Samia ya kutuacha tuandamane kwa AMANI ilikuwa imeanza kunitisha.

Confrontational Politics ndio ushindi kwetu Camera za Dunia nzima zimeelekezwa Tanzania kwa sasa😁

Mungu atupe nini..
 
Tatizo huko mawazo yako watayachukua? Until then wanawaza kuwabana tu, ndio wanazidi kuwafanya waonekane innocent mbele ya umma hata kama wana makosa
 
Ile Strategy ya Samia ya kutuacha tuandamane kwa AMANI ilikuwa imeanza kunitisha.

Confrontational Politics ndio ushindi kwetu Camera za Dunia nzima zimeelekezwa Tanzania kwa sasa😁

Mungu atupe nini..
Kamera za dunia zimeelekezwa tanzania? Kaka are you for real? Huko nchi zilizoendelea wana deal na ishu kubwa sana, wako so busy , waache kazi zao wa deal na politics za tz kweli? Comeon
 
Kamera za dunia zimeelekezwa tanzania? Kaka are you for real? Huko nchi zilizoendelea wana deal na ishu kubwa sana, wako so busy , waache kazi zao wa deal na politics za tz kweli? Comeon
Nilikuwa naangalia Aljazeera BBC na baadhi ya International Media zinaongelea tukio la KUTISHA la Mbeya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…