Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Wanaopenda kwenda kuishi marekani ni watu wenye chembechembe za ushetani. Watu wenye hofu ya mungu sidhani kama wanapenda kwenda kuishi marekaniHuwa nikiona maelfu ya watu kila siku toka nchi za Amerika ya Kusini na kwingineko duniani wanavyolazimisha kuingia Marekani, huwa najiuliza, inakuwaje nchi inayosemwa kwamba ni mhimili wa Ushetani duniani inagombaniwa na watu kwenda kuishi.
Huoni harakati za watu kwenda kwenye zile nchi zenye "Ustaarab" au za "wacha Mungu" kuliko harakati zinazofanywa na watu kwenda kuishi Marekani. Kwa nini watu wanang'ang'ania kwenda kwenye nchi inayoitwa ya kidhalimu?
Maneno ya Mkosaji hayawazui wengine kunywa maji [emoji1]Wanaopenda kwenda kuishi marekani ni watu wenye chembechembe za ushetani. Watu wenye hofu ya mungu sidhani kama wanapenda kwenda kuishi marekani
Basi watu wenye hizo chembe chembe za ushetani wapo wengi sana duniani!!Wanaopenda kwenda kuishi marekani ni watu wenye chembechembe za ushetani. Watu wenye hofu ya mungu sidhani kama wanapenda kwenda kuishi marekani
Kutawaliwa na Uingereza siyo neno sahihi. Sahihi ni Marekani ilikuwa sehemu ya Uingereza hasa yale majimbo 13 ya mwanzo.Nani kasema anatamani kwenda marekani
NB:MAREKANI KATAWALIWA NA UINGEREZA
Huwa nikiona maelfu ya watu kila siku toka nchi za Amerika ya Kusini na kwingineko duniani wanavyolazimisha kuingia Marekani, huwa najiuliza, inakuwaje nchi inayosemwa kwamba ni mhimili wa Ushetani duniani inagombaniwa na watu kwenda kuishi.
Huoni harakati za watu kwenda kwenye zile nchi zenye "Ustaarab" au za "wacha Mungu" kuliko harakati zinazofanywa na watu kwenda kuishi Marekani. Kwa nini watu wanang'ang'ania kwenda kwenye nchi inayoitwa ya kidhalimu?
🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️Angalia ripoti yetu ya CAG na report zao , ndo utagundua nchi ipi Ni ya kishetani.
Sent from my Infinix X655C using JamiiForums mobile app
Nani kasema anatamani kwenda marekani
NB:MAREKANI KATAWALIWA NA UINGEREZA
Ukiishi kwenye nchi ipi hapa duniani ndiyo unakuwa umepita kwenye njia nyembamba!!??Njia zipo mbili tu!
1. kuna njia nyembambaa iendayo uzimani... ni watakatifu walio-wachache sana huenda huko
Kila mtu anatamani kuishi [emoji631]na haipingwiiiiiiiiii.Marekanj ndiko dunia ya sasa iliko,free world. Kila mwanadamu anatamani kuishi ulaya na usa
Ongezaaa sautiiiiiiiNani kasema ni nchi ya kishetani? Ukimsondeshea kidole mwenzako na wewe jiangalie kama upo safi...ziangalie amri kumi zote kwa usahihi kama unazitimiza zote kwa usahihi basi msonteshee kidole marekani
Una mawazo ya kimaskini na unajifariji na umaskini.Wanaopenda kwenda kuishi marekani ni watu wenye chembechembe za ushetani. Watu wenye hofu ya mungu sidhani kama wanapenda kwenda kuishi marekani
Jibu rahisi tu. Mambo ya kishetani ndiyo yenye kuvutia zaidi watu hapa duniani. Si unaona hata night clubs....Huwa nikiona maelfu ya watu kila siku toka nchi za Amerika ya Kusini na kwingineko duniani wanavyolazimisha kuingia Marekani, huwa najiuliza, inakuwaje nchi inayosemwa kwamba ni mhimili wa Ushetani duniani inagombaniwa na watu kwenda kuishi.
Huoni harakati za watu kwenda kwenye zile nchi zenye "Ustaarab" au za "wacha Mungu" kuliko harakati zinazofanywa na watu kwenda kuishi Marekani. Kwa nini watu wanang'ang'ania kwenda kwenye nchi inayoitwa ya kidhalimu?
Hiyo nchi ya ki-Mungu ambayo watu wanakimbilia kwenda ni ipiWanaopenda kwenda kuishi marekani ni watu wenye chembechembe za ushetani. Watu wenye hofu ya mungu sidhani kama wanapenda kwenda kuishi marekani