cassavaleaves
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 1,799
- 2,237
Maskini wa akili na mali ndio wanaokimbilia USA.
Ho Wahindi /Wachina ambao kila kukicha na akili zao wanakimbilia kuja Silicone Valley ni maskini wa akili ndugu yangu....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maskini wa akili na mali ndio wanaokimbilia USA.
Ukiishi kwenye nchi ipi hapa duniani ndiyo unakuwa umepita kwenye njia nyembamba!!??
Sawa. Jee unaona kama kuna watu wanatamani sana kuishi Afghanistani kuliko Marekani. Malala Yousef Mwenyewe alikimbilia Marekani baada ya kudunguliwa risasi na wahafidhina!!Afghanistan
Kila mtu anatamani kuishi [emoji631]na haipingwiiiiiiiiii.
Ho Wahindi /Wachina ambao kila kukicha na akili zao wanakimbilia kuja Silicone Valley ni maskini wa akili ndugu yangu....
![]()
Sio kweli. Wengi wanakimbilia [emoji631] kutafuta fursa bora za maisha.
Sasa unakataa nn? Kutafuta hizo fursa ndo wanapenda kuishi huko, kwanini wasiende hizo nchi zingine??Sio kweli. Wengi wanakimbilia [emoji631] kutafuta fursa bora za maisha.
UmemalizaaaaaaaNapitia comments hapa naona watu wanaandika andika tuu uongo uongo tuu na unafiki.
Kiukweli sisi watu weusi tumejaa unafiki.
Hapa wanaandika hawataki kwenda,hawapapendi na kebehi zingine.
Lakini amini nakwambia America ni bara nambari moja duniani wanaadamu kwa % kubwa wanatamani kufika,kutembelea ama hata kuishi maana mapicha na mavideo yake tuu yanashawishi.
Hakuna mtu asiyependa vitu vizuri.
Sijawahi kusukia kijana akiwa na ndoto ya kufika Urusi.
So far sijajua sababu huwq ni ipi hasa, wengi utasikia US.
![]()
The U.S. Citizenship and Immigration Services naturalized 833,000 people - an 11-year high in new oaths of citizenship - in fiscal year 2019, which ended September 30. This fiscal year, USCIS administered the Oath of Allegiance to 60 of America’s newest citizens, from 51 different countries, during a special naturalizing ceremony Tuesday at Smithsonian’s National Museum of the American Indian.
Holding American flags in their left hands, the group raised their right hands, and placed them over their hearts, and took the Oath of Allegiance to the United States of America.
"It means a lot, joining one of the world’s greatest country of all times and able to serve this country," said Sandra Amoah, a new U.S. citizen originally from Ghana.
For these 60 people from 51 different countries, young and old, this was the final step to become a naturalized citizen of the United States of America. But it also marked a new beginning in their lives.
"It's going to open more doors for me for a young guy growing up, it's a great opportunity right here," Ghana native Yaw Opoku Amoah told VOA.
"I found it very emotional and I feel that it is a privilege that not very many people can obtain," Virginia Growich, a new U.S. citizen who was born in England said.
Sasa unakataa nn? Kutafuta hizo fursa ndo wanapenda kuishi huko, kwanini wasiende hizo nchi zingine??
Mbna maneno yako hayana mashiko.
Mzee Kigogo, nakubaliana na wewe kabisa, nina marafiki wengi wanaonitembelea US, lakini hawataki kuishi hapa! Wanakuja kutembea, kufanya shopping na kurudi bongo, na wengine wanasoma hata watoto wao, lakini wanasema maisha ya hapa hawayawezi, si kwa ubaya...wengine upweke...wengine ni huu mchaka mchaka wa US na sababu nyingi......Hivyo na fursa zote lakini mtu ana pata satisfaction ya maisha yake anavyoona yeye....Uko sawa Mkuu.It’s true America is a land of opportunity ila nakataa kuhusu kwamba kila mtu anatamani kuishi Marekani.
Sidhani ni "Kila mtu" anataka kwenda kuishi Marekani!!It’s true America is a land of opportunity ila nakataa kuhusu kwamba kila mtu anatamani kuishi Marekani.
Hata hao wenyewe wanaitamani [emoji631]Mbona wanaenda nchi nyingine kama Canada, Uk, South Africa, France nk.
Huoni wahamiaji kutoka Afrika wanakufa maji karibu kila siku Wakikimbilia Ulaya?!