Kama Marekani ni nchi ya Kishetani ni kwanini mamilioni ya watu duniani hutamani kuishi Marekani?

Kama Marekani ni nchi ya Kishetani ni kwanini mamilioni ya watu duniani hutamani kuishi Marekani?

Ushawahi kusikia mtu yeyote katika nchi za kiarabu akimwambia mtu mweusi ni NYANI! Ewe msemaji wa mzayuni na mmarekani!
Mara nyingi sana mbona.? Unapinga nini wakati hata unapofuata utamaduni wake lkn bado anaamini kwamba wewe ni kafiri tu.
 
Mungu alisema,waendao kuzimu ni wengi kuliko waendao mbinguni
 
Huwa nikiona maelfu ya watu kila siku toka nchi za Amerika ya Kusini na kwingineko duniani wanavyolazimisha kuingia Marekani, huwa najiuliza, inakuwaje nchi inayosemwa kwamba ni mhimili wa Ushetani duniani inagombaniwa na watu kwenda kuishi.

Huoni harakati za watu kwenda kwenye zile nchi zenye "Ustaarab" au za "wacha Mungu" kuliko harakati zinazofanywa na watu kwenda kuishi Marekani. Kwa nini watu wanang'ang'ania kwenda kwenye nchi inayoitwa ya kidhalimu?
Idadi kubwa ya watu wa duniani sasa hivi ni mashetani.
 
Nani kasema anatamani kwenda marekani



NB:MAREKANI KATAWALIWA NA UINGEREZA

by the way fun fact ni technicaly Marekani kwa maana ya hii USA ya sasa haijatawaliwa kama vile ambavyo tumezoea kwa nchi zingine. sababu marekani asili yake ni waingereza walioasi na kujitangazia kuwa ni nchi kamili wakaipa jina ni "United states" ingawa hawakuwa peke yao. maana pamoja Great britain kuwa taifa la kwanza kutia mguu wake bara la America. ila Ufaransa, Wadachi na nafikri wareno nao walikuwa wana maeneo huko kwenye bara la america..

Sema GB alikuwa na eneo kubwa maana.. ailtia nguvu nyingi ya kuhamasisha wafanyabiashara wake kwenda kuwekeza. sababu ndioilikwua staili ya zamani .

zaman wakat nchi za Euro zikiwa zinaingia kuchukua makoloni.. ardhi za ugenini izilikuwa zinachukuliwa kupitia exploration ambazo zinakuwa zimefadhiliwa na Wafanyabiashara wakubwa wa Nchi husika au tawala za kifalme. wakishachukua wanahamasisha wafanyabiashara wao kwenda kwenye hayo makoloni kuwekeza.. na wakat mwingine kampuni zenyewe zilikuwa zinafadhlii exploration za new lands wakishaipata wanaichukua in the name of the so called govt wanakotokea..

mfano kampuni ya kifaransa wataichukua land kisha watatangaza kuwa wameichukua kwa niaba ya serikali ya ufaransa. manaa yake wana claim hilo eneo ni colony ya hiyo nchi ambapo hiyo kampuni inatokea. that is how the colonialism spread. sio kwaamba nchi ilikuwa inakuja na wanajeshi kupigana vita kuchukua ardhi.

mfano mwingine ni kama congo ambapo "king leopard 2" alifadhili exploration, ila aakamu aigawe congo upande iwe colony la belgium upande iwe congo iwe mali yake binafsi na sio colony la belgium. congo mali yake akaaita "Congo Free state" yaani imagine jamii na kila kitu kilichopo mnakuwa private aasset ya mtu.

anyway, so kwa Uingereza wao alivamia america na wakaanza kupigana na native america wakiwemo (red indians) na moja ya sababu iliopelekea hawa wazungu waliovamiwa America kujitenga na kujipa utawala kamili kujitangaza ni taifa kamili ni sababu ya GB kule london walikuwa wanapandisha kodi tu huku jamaa wakilalamika kuwa wao pia wanagharama zao kubwa na wala haipati msaada kutoka london bali wanapandishiwa tu kodi huku wakitishiwa kuwa atakaegoma wataondolewa na kurudishwa GB.

so wafanyabiashara waliokuwa wamehamia huko wakaona sio fair kugharamia matatizo ambayo hayawahusu na wakaona kama GB kiuchumi wanawategemea maana yake wao wanaweza kujiendesha bila kutegemea serikali ya london ndio wakaamua ku rebel na kujitangaza kuwa ni nchi kamil GB alijaribu kutuma jeshi kwenda kuzuia Uasi huo ila jamaa ila walishajipanga na kuanzisha jeshi kubwa tu. mwisho serikal ya london baada ya kuona ni kama wanapigana wenyewe kwa wenyewe na hali ya uchumi inazidi kuwa mbaya ikabidi wakakubali yaishe ..

so technically US ya sasa haijatawaliwa na Uingereza ila raia wa GB waliohamia america waliamua kuanziasha nchi yao ana tukisema kuwa walitawaliwa na great britain.. itabidi tuseme kabla ya kutawaliwa wao walikuwa na identity gani?
 
Back
Top Bottom