Marekani kuzuri sana, hakuna Barabara za vumbi na maji hayakatiki, vitu muhimu kama chakula,umeme na maji ni bei rahisi sana karibu na bure, kazi nyingi sana kama unataka kazi huwezi kukosa, hakuna kuoneana kiboya kama polisi au wanasiasa wa bongo, Elimu bure mpaka high school, matibabu expensive lakini ni World class na yapo Kwa Kila mtu maana hata kama huna insurance utatibiwa tuu utatumiwa bill ila hawawezi kukuacha ufe, sehemu nyingi US ni kusafi kama peponi, standard ya Maisha ya mfanyakazi wa kiwandani US inamzidi waziri wa bongo ambaye sio mwizi, Kuna haki Kwa Kila mtu