Huu ndio ukweli wenyewe, na waislam wengine wamejilipua kama machoko ili waingie, cha ajabu wakishapata uraia wanajifanya kuwachukia LGBTQ, kuna time in Minneapolis wasomali ambao ndio wengi madereva wa Uber na Lyft walitaka kufanya mgomo kukataa kubeba watu waliokunywa pombe kwa ajiri ya uislam wao, mzungu akasema neno moja tuu kama unataka usiendeshe tena uber huu mji kataa kubeba mtu kwa sababu kanywa pombe, wasomali ilibidi waipotezee tuu maana watu walianza kuwaita makusudi wamelewa ili wapoteze licence zao