Mtu na nusu
JF-Expert Member
- Jan 9, 2020
- 704
- 1,381
Nimejaribu kupitia na kuangalia maslahi ya walimu kwenye nchi za wenzetu(botswana, South Africa, Rwanda, Qatar n.k) nikagundua walimu wanalipwa vizuri mno kuliko wanavyolipwa kwetu
Nikaangalia vigezo na taratibu za kuomba ajira nikaona vyote ni rahisi na vinawezekana.
Nilichojilaumu ni mimi kuchelewa kulijua hili.
Sasa najiuliza kwanini walimu wenzangu wanalia njaa wakati uwezekano wa kuuzika umasikini upo?!!!
Haiwezekani walimu wa Tanzania tunazidiwa na mbuzi/ng'ombe ambao hupambana kutafuta nyasi nzuri wanapokua malishoni.
Naomba kuwasilisha.