KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 36,625
- 89,385
Hehe! Mi nashindwa kuwaelewa ..😅Sheria inasema hivi
"Hairuhusiwi kwa mtumishi wa umma kumiliki au kujihusisha na shughuli nyingine inayomuingizia kipato binafsi nje na kazi yake"
Hehe! Mi nashindwa kuwaelewa ..😅Sheria inasema hivi
"Hairuhusiwi kwa mtumishi wa umma kumiliki au kujihusisha na shughuli nyingine inayomuingizia kipato binafsi nje na kazi yake"
Mitaala inafanana kwa masomo ya science (physics, chemistry,biology, mathematics na geography)Mitaala tofauti, au wakafundishe maji maji war,hadithi za Juma na Uledi
Nimeangalia baadhi ya nchi leseni sio kituNchi yetu inahitaji kuwa na Bodi hai ya Walimu Ili Walimu wapewe leseni kwanza.
Sheria inasema hivi
"Hairuhusiwi kwa mtumishi wa umma kumiliki au kujihusisha na shughuli nyingine inayomuingizia kipato binafsi nje na kazi yake"
😀 acha tuHehe! Mi nashindwa kuwaelewa ..😅
Haukusomewa maadili na miiko ya utumishi wa umma?Imeandikwa wapi hii? Taja jina la sheria au kanuni husika.
Hapana wana likizo rasmiLikizo ya mwalim inakuaga ndani ya likizo za wanafunzi
We ni mwalimu au afisa elimu?Hapana wana likizo rasmi
Nilisomewa na hicho kipengele sijakiona. Ndio maana naomba unitajie kwa rejea zaidi.Haukusomewa maadili na miiko ya utumishi wa umma?