luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
Nimesikia Kampuni ya KiTanzania MAXIMALIPO ana simamia na kuendesha usafiri ktk jiji la MAPUTO nchini Msumbiji , sasa inakuwaje hapa Bongo tuna pwaya pwaya tu na usafir wetu wa UDART
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NipO Banjarmasin, Indonesia kwa muda ya Bongo siyajui sanaaaaaaanaona Mh. Rais amekufungua kidogo... tafuta nyuzi humu zikusaidie... pia tuliamia kwa TTCL na taasisi mtandao za serikali kipindi cha awamu iliyopita
yaache hayato kusaidia kiongozi, pambana na ya Bali, Jakarta, IndonesiaNipO Banjarmasin, Indonesia kwa muda ya Bongo siyajui sanaaaaaaa
Kidumu chamaaayaache hayato kusaidia kiongozi, pambana na ya Bali, Jakarta, Indonesia
Nawaza Kuna mtu aliwaibia Vision na Plan yao ikapelekwa serikalini kikaanzishwa kitu kinaitwa GePG kwaio apo automatically wakakosa malipo ya serikali yaliyowapa jina kama Luku, jumlisha kukua na kuimarika kwa mtandao wa mawakala wa simu competition ikawa kubwa ambayo to them it was unfair maana serikali haikuachia iwe soko Huria.jamaa alitanuka kimaosoko..kulikua na vision kubwa ya maxmalipo kuwa solutions za malipo ya kidigitali, mifumo ya ukitishaji tiketi kidigitali, luku maji etc etc ila sjui alikwamia wapi..
GePG ni zaidi ya Maximalipo to.me !!Nawaza Kuna mtu aliwaibia Vision na Plan yao ikapelekwa serikalini kikaanzishwa kitu kinaitwa GePG kwaio apo automatically wakakosa malipo ya serikali yaliyowapa jina kama Luku, jumlisha kukua na kuimarika kwa mtandao wa mawakala wa simu competition ikawa kubwa ambayo to them it was unfair maana serikali haikuachia iwe soko Huria.
Mambo ya kifedha yana uhusiano wa moja kwa moja na benki kuu.jamaa alitanuka kimaosoko..kulikua na vision kubwa ya maxmalipo kuwa solutions za malipo ya kidigitali, mifumo ya ukitishaji tiketi kidigitali, luku maji etc etc ila sjui alikwamia wapi..
Binafsi huwa nashangaa sana serikali yetu sijui huwa hawa wasimamizi wanamitazamo gani.GePG ni zaidi ya Maximalipo to.me !!
GePG inasaidia sana kurahisisha malipo ga serikali yoteee, lkn hii maximalipo ninafsi nafikiri ange kaa pale udart ingekuwa poa sanaa + malipo ya huduma zingine
lakini sasa hivi NALA anaenda duniani, ndio ana kua mkubwa...Mambo ya kifedha yana uhusiano wa moja kwa moja na benki kuu.
Kuna wakati benki kuu huwa wasumbufu sana kwa makampuni.
Nimesikia interview ya Benjamen Fernandes wa NALA, anasema wakati anaomba leseni BOT ilichukua miezi kadhaa mpaka kupatiwa. Kwa nchi nyingine za Afrika Mashariki ilichukua wiki 2 mpaka 3 pekee.
Unaweza kuona jinsi ilivyo ngumu kufanya biashara hiyo hapa Tz sheria zetu bado hazimbebi mwekezaji wa kifedha kidijitali.
Ni kweli anakua sana. Ila anasema kuanzisha kampuni ya dijitali ya kifedha tz ni ngumu kuliko nchi yoyote.lakini sasa hivi NALA anaenda duniani, ndio ana kua mkubwa...
![]()
NALA | Send Love Home
Join a community of 500,000+ using NALA to make fast, safe, and reliable payments to Africa & Asia, from the UK, US and EU.www.nala.com
yupo
USA
UK
GHANA
UGANDA
KENYA
TANZANIA
RWANDA
SHERIA YA MWAKA 90S MKUU?Ni kweli anakua sana. Ila anasema kuanzisha kampuni ya dijitali ya kifedha tz ni ngumu kuliko nchi yoyote.
Bado wanatumia sheria za 90s huko hawaendani na mabadiliko ya teknolojia na mahitaji ya sasa.
Sio maneno yangu mimi nimenukuu tu, Labda wakati anasajili yeye sheria zilikuwa hazijabadilishwa.SHERIA YA MWAKA 90S MKUU?
MIMI NIMESAJILI BIASHARA YA PESA BOT NA KUPATA LESENI... EBU JITAHIDI KUFATILIA KWA WENYE MICRO FINANCES/CREDIT HATA MPESA LABDA WANA NENO ZAIDI YA 90S...
Kashfa ya upigaji,walitupiga b kadhaa sasa sijui ni kampuni au staff wa kampuni.Thus walinyimwa tenda za serikali.jamaa alitanuka kimaosoko..kulikua na vision kubwa ya maxmalipo kuwa solutions za malipo ya kidigitali, mifumo ya ukitishaji tiketi kidigitali, luku maji etc etc ila sjui alikwamia wapi..
Alikua hapa pia kwenye mwendokasi ikatokea kutokuelewana nao kesi ikapelekwa mahakamani sijui iliisha namna gani.