Kama Mbeya ingekuwa ni nchi, kwenye football hii ndio ingekuwa first eleven yake

Umejaa ukabila stupi
 
Sawa tumekubali ndo majina yenu yote yaishie na mwa au ndio asili ya huko.
 
1. Msheli
2. Kapombe
3. Kibwana
4. Dante
5.Job
6.Mauya
7.Kichuya
8. Mzamiru
9.
10.
11.
Moro hiyo, unaweza unda timu hata 4
 
MAKA EDWARD
RAFAEL DAUD LOTH
PETER MWANGOSI
MWASHIUYA
CleofACE MKANDALA
LAMBART SABIYANKA
 
Mbona hakuna wachezaji wa maana hapa?
 
Wapo kibao abdi banda list ni ndefu sana mpaka yusuph anayecheza timu taifa ya Denmark bado wakina Pera mavuo wapo kibao yaani uje chukua African sports, coastal hawapo wengi
kuna ugumu kuwataja kwa majina mkuu?
 
Kocha mwambusi
 
Mwantika labda yupo Azam ya huko Rungwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…