Kama Mbeya ingekuwa ni nchi, kwenye football hii ndio ingekuwa first eleven yake

Inawezekana kasema watu wa mkoa fulani sio kabila Tanga kuna mchanganyiko zaidi ya makabila10
Tanga kuna wanyasa na wasukuma wengi sana walikuja kukata mkonge enzi za mkoloni
 
Tanga kuna wanyasa na wasukuma wengi sana walikuja kukata mkonge enzi za mkoloni
Kila kabila lipo mpaka Mzee majuto yule marehemu alitokea kigoma akaweka makazi pale wengi wanajua mzawa wa Tanga
 
Mimi sio mwenyeji wa mbeya ila Nimeishi mbeya miaka mitano kipindi nasoma ,nimejionea vijana wanapenda soka toka damuni sio kwa kulazimisha kilichokosekana mbeya ni kukosekana uwezeshaji wa vipaji vya soka, mbeya vipaji viko vingi sana ukienda wilayani huko ni balaa "fikiria mkoa unatimu tatu kama dar "naishauri serikali itengeneze kituo cha kukuza vipaji vya soka mbeya academy football ,achana na sasa kipindi hicho kina Stephano mwasika ,Godfrey bony ndanje yanga ilikuwa balaa chini bosi manji.
 
daaaah RIP NDANJE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…