Kama Mbeya ingekuwa ni nchi, kwenye football hii ndio ingekuwa first eleven yake

1.Zakaria mkumbu---Polisi
2..George wawa--- Dodoma jiji
3.
4.
5.Ally Msengi---- S.Africa
6.Raphael Daud loth---- ihefu
7.Athanas Mdamu-----Marekan huko
9.Dan lyanga------Geita
10.Ayub lyanga----- Azam
11.Ibrahim Ajib----- Azam

Sub.
Jeremiah Mgunda
Moses kitandu


Ieleweke sisi tutashambulia dakika zote , kulinda hatujui
 
kaka Athanas Mdamu yupo Tanzania Prisons....

namba 3 weka Hance Masoud
 
Beno Kakolanya mtoe, huyo sio Mbeya, ni Rukwa, Mfipa kabisa wa Sumbawanga, labda kama umeamua kupindisha utaratibu ukafuata kabila la mama
 
Ndio maana Kuna Timu 3 Ligi kuu na 3 Ligi daraja la kwanza
 
Kuna mtu anaitwa gasper mwaipasi yuko pale mbeya city..mark my word YULE DOGO ANAJUA SANA
 
Beno anakua hapa Mbeya na tunamuona tangu yupo Mbaspo Academy, kwa jina may be ndio atakuwa wa Rukwa..
Kabla hajaenda mbaspo tumecheza naye mbeya foundation Academy Teku zamani pakiitwa Moseko chini ya Kocha Chuma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…