Uchaguzi 2020 Kama Mbowe anataka Membe ndio agombee urais ina maana hamuamini kabisa Tundu Lisu!

johnthebaptist
Pilipili usiyoila yakuwashaje?

Nashangaa nyinyi makada wa Lumumba, mnajitahidi sana kushughulikia waombaji Urais upande wa upinzani........

Mbona hamkemei chama chenu, ambacho kime-print form moja peke yake tu kwa ajili ya Jiwe?
 
Na vyovyote itakavyokuwa vile, bado CDM kinaweza ku "risk" kwa mara nyingine kwa kuruhusu ujio wa kete muhimu sana ya kisiasa kwao. Hii itawafanya kuzidi kujenga ushawishi zaidi na kufikia ngome imara za CCM hasa maeneo ya kusini mwa nchi yetu, kwa kuwa Membe ni bonge la "asset" ktk mazingira ya kisiasa ya sasa.
 
Membe,Then kuuzia form wagombea wengine plus takukuru , i don't get your point.
 
k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…