Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama wewe ulivyoenda mirembe ya Kenya!Mirembe inakuhusu wewe si BURE.
Kukamatwa siyo jambo geni.....hata Matiko aliporuka dhamana alikamatwa!Unataka kuniambia Lisu atakuja msimkamate kwa kesi ya kuruka dhamana kesi ya uchochezi mkamfunga miezi 6 chachapu !!??
K
Kama wewe ulivyoenda mirembe ya Kenya!
Hapo Ufipa kuna mjumbe anaweza kumbishia Mbowe?
CCM kuna demokrasia!Nyie kwenu yuko wa kumbishia Magufuli? Kila Chama kina mzee wake we vipi?
Kama nyie mlikuwa mnajua form ya urais mmeprint moja tu na hamna copy kwanini mlisema zoezi la kuchukua "form za kugombea uongozi wa vyombo vya dola" umeanza ilihali mnajua kabisa mgombea wenu ni jiwe peke yake?Hii haijakaa sawa kwamba Tundu Lisu ameshalipia fomu na anazijaza ili atakaporejea aziwasilishe kwa kishindo naye Mbowe anaanza mazungumzo ya kumshawishi Membe aje agombee.
Najaribu kujiuliza, kama uongozi wa juu unamtaka Membe kwanini mnawauzia fomu wagombea wengine ambao hawahitajiki?
Naomba Takukuru fuatilieni kwa ukaribu jambo hili.....fomu zinaendelea kuuzwa wakati mgombea keshapatikana.
Ni heri wangechapa fomu moja tu.
Maendeleo hayana vyama!
😂😂😂😂 Umenikumbusha mbali sana harufu ya papajohnthebaptist unatokwa na mate kwa harufu ya papa inayochomwa nyumba ya jirani.
Swali fikirishi je mvuvi akiona samaki mkubwa zaid atamrudisha kwenye maji 'what is all about is to win the general elections'Hii haijakaa sawa kwamba Tundu Lisu ameshalipia fomu na anazijaza ili atakaporejea aziwasilishe kwa kishindo naye Mbowe anaanza mazungumzo ya kumshawishi Membe aje agombee.
Najaribu kujiuliza, kama uongozi wa juu unamtaka Membe kwanini mnawauzia fomu wagombea wengine ambao hawahitajiki?
Naomba Takukuru fuatilieni kwa ukaribu jambo hili.....fomu zinaendelea kuuzwa wakati mgombea keshapatikana.
Ni heri wangechapa fomu moja tu.
Maendeleo hayana vyama!
Kumtenda alimtenda haswa ,sema ndio hivyo nyumbu wamejaa upofu,watu makini tunajua hivyoNa kikubwa ndie ataonyesha wale wasioamini.. kwamba ndiye aliye mutenda ili asifikie ndoto yake.. nzima kugombea tu bila kushinda..
Hivi wewe unafikiria ktk mazungumzo kama hayo huwa hayamuhusishi Lissu ama viongozi wengine wa juu wa CDM. Lissu bado hajakakikishiwa usalama wake pindi arudipo hapa nchini.Hii haijakaa sawa kwamba Tundu Lisu ameshalipia fomu na anazijaza ili atakaporejea aziwasilishe kwa kishindo naye Mbowe anaanza mazungumzo ya kumshawishi Membe aje agombee.
Najaribu kujiuliza, kama uongozi wa juu unamtaka Membe kwanini mnawauzia fomu wagombea wengine ambao hawahitajiki?
Naomba Takukuru fuatilieni kwa ukaribu jambo hili.....fomu zinaendelea kuuzwa wakati mgombea keshapatikana.
Ni heri wangechapa fomu moja tu.
Maendeleo hayana vyama!
Aliyekuambia uongozi wa juu unamtaka Membe nani? Mnajazana ujinga huko halafu mnakuja kupima upepo hapa.
Siyo hatari kwa chadema 'it is a golden chance'Kwa Sasa CHADEMA hawana namna. Kitendo Cha Membe kugombea kupitia chama chochote Cha Upinzani ni hatari zaidi kwa Chadema kuliko CCM. Ni wazi ukimuondoa JPM, Membe ndie mtanzania mwenye ushaawishi Mkubwa kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka huu. Hivyo, ikitokea akagombea kupitia Chadema, atakisaidia chama walau kushinda viti vingi vya Ubunge na Udiwani kuliko mwanachama mwingine wa Chadema. Akigombea kwenye chama tofauti na Chadema, tafsiri yake, Chadema na chama hicho watagawana kura. Na kwa Muktadha wa Sasa, Chadema atapata kura chache zaidi kuliko chama hicho na atashinda majimbo machache zaidi na kupelekea kupoteza nafasi yake Kama Chama kikuu Cha Upinzani. Mfano ikatokea Membe akajiunga ACT, ataongeza ushawishi wa chama hicho kwenye majimbo ya Mikoa ya kusini na Mashariki. Hivyo, Kuna uwezekano Mkubwa wa ACT kupata majimbo mengi kwenye Kanda hizo kwa kuwa kwanza, Kusini ndio Kanda anakozaliwa Membe, lakini pia, Mikoa ya Kanda hii na Ile ya Mashariki, Ina wafuasi wengi watiifu kwa aliyekuwa Katibu mkuu wa CUF, ambaye kwa Sasa ni Mwenyekiti wa ACT, mh. Maalim Seif. Pia,chama Cha ACT kwa hesabu za haraka tuu, zinaonesha kitapata Wabunge wengi kwa Upande wa visiwa vya Pemba na Unguja.
Kwa hesabu hiyo, utaona hatari inayowakabili Chadema, kuelekea uchaguzi mkuu 2020. Kama Chama, Chadema Wana option mbili, Kusuka au kunyoa. Hakuna neutral point in this scenario.
N.B Tusisahau assignment waliyopewa chama Cha NCCR mageuzi kwa majimbo yaliyokuwa yakiongozwa na Chadema kwa Upande wa Tanzania Bara.
Sisi wengine tutabaki kuwa Wapenzi watazamaji, kazi kwenu wafia chama.
Acha mawazo ya kilumumba wee mtu, form inachukuliwa na kujazwa na mwanachama wa chadema ambaye amejipima na kuona anatosha kugombea urais... kwahiyo hata hiyo nayo mnawataka Takukuru ccm waje kuchunguza hilo?? DuuhHii haijakaa sawa kwamba Tundu Lisu ameshalipia fomu na anazijaza ili atakaporejea aziwasilishe kwa kishindo naye Mbowe anaanza mazungumzo ya kumshawishi Membe aje agombee.
Najaribu kujiuliza, kama uongozi wa juu unamtaka Membe kwanini mnawauzia fomu wagombea wengine ambao hawahitajiki?
Naomba Takukuru fuatilieni kwa ukaribu jambo hili.....fomu zinaendelea kuuzwa wakati mgombea keshapatikana.
Ni heri wangechapa fomu moja tu.
Maendeleo hayana vyama!
Nyie misukule ndiyo mumezidiwa akili wanakuja wahamiaji wanapewa shavu nyie mnazungusha viuno tu, si ina maana huko mko vilaza tu hadi mabosi wenu wafike bei kwa vichwa toka Chadema. Mtasugua sana benchi kwa bk7 zenu huku teuzi zikiwaangukia wahamiaji. Membe huku hapati kitu labda kwa ile plan B yenu antapata reception.Membe keshawazidi akili Chadema, watazungusha mikono kwa membe mda sio.mrefu.
Kwa hisani ya Jeshi la Magereza....[emoji23][emoji1787][emoji23] Bila dola ni weupe kama toilet paperDodoma yote kijani!