Uchaguzi 2020 Kama Mbowe anataka Membe ndio agombee urais ina maana hamuamini kabisa Tundu Lisu!

Hii haijakaa sawa kwamba Tundu Lisu ameshalipia fomu na anazijaza ili atakaporejea aziwasilishe kwa kishindo naye Mbowe anaanza mazungumzo ya kumshawishi Membe aje agombee.

Najaribu kujiuliza, kama uongozi wa juu unamtaka Membe kwanini mnawauzia fomu wagombea wengine ambao hawahitajiki?

Naomba Takukuru fuatilieni kwa ukaribu jambo hili.....fomu zinaendelea kuuzwa wakati mgombea keshapatikana.
Ni heri wangechapa fomu moja tu.

Maendeleo hayana vyama!

Mbona nyie mliamua mwaka huu kutoa form moja tu? Kila Chama na maamuz yake
 
Hii haijakaa sawa kwamba Tundu Lisu ameshalipia fomu na anazijaza ili atakaporejea aziwasilishe kwa kishindo naye Mbowe anaanza mazungumzo ya kumshawishi Membe aje agombee.

Najaribu kujiuliza, kama uongozi wa juu unamtaka Membe kwanini mnawauzia fomu wagombea wengine ambao hawahitajiki?

Naomba Takukuru fuatilieni kwa ukaribu jambo hili.....fomu zinaendelea kuuzwa wakati mgombea keshapatikana.
Ni heri wangechapa fomu moja tu.

Maendeleo hayana vyama!
Kweli Lissu kawashika pabaya makada wa kijani mwaka huu. Yaani habari za Mbowe kuonana na Membe badala ziletwe na Tumaini Makene na makada wa Chadema zinaletwa na makada wa CCM kina Johnthebabtist na Troll jf.

Na bado, Lissu hajui kusema nimetafakari nimeona Magufuli kashinda naenda Mahakamani, Lissu anajua kusema tulinde kura, wananchi tuandamane kudai ushindi wetu. CCM mwaka huu mnalo. Hesabu zenu za kumweka Membe aharibu harakati za upinzani zimekwama Mázima.

Na jiandaeni Lissu anakuja sijui mtamweka ndani muongeze public sympathy juu yake au mtamwacha mpambane nae?

Yaaani CCM mlipofika ni kama wale viongozi wa dini walivyoulizwa na Yesu , mamlaka ya Yohana mbatizaji kubatiza yalitoka kwa Mungu au kwa binadamu???? Chochote mtakachofanya mwaka huu mnalo
 
Najua hakuna wa kumzuia Membe hapo Ufipa..... Mnaomtaka Lisu ni nyie dagaa ila wenye chama wana malengo tofauti

Mrudishieni TL ada yake ya fomu!
 
CCM mnalo mwaka huu, mbinu zenu zoote zinafeli wakati wa kuanza.

Subirini mwamba Lissu aingie.
 
Hii haijakaa sawa kwamba Tundu Lisu ameshalipia fomu na anazijaza ili atakaporejea aziwasilishe kwa kishindo naye Mbowe anaanza mazungumzo ya kumshawishi Membe aje agombee.

Najaribu kujiuliza, kama uongozi wa juu unamtaka Membe kwanini mnawauzia fomu wagombea wengine ambao hawahitajiki?

Naomba Takukuru fuatilieni kwa ukaribu jambo hili.....fomu zinaendelea kuuzwa wakati mgombea keshapatikana.
Ni heri wangechapa fomu moja tu.

Maendeleo hayana vyama!
CCM tulieni dozi iwaingie mkojo utawatoka mwaka huu.
 
Umbeya mwingine kwa UFINYU wa akili yako kila anayeiunga mkono Chadema basi ni wa migombani!!! [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] Acha UZWAZWA Chadema imetambaa Tanzania nzima na haiko migombani tu.
Achana na huyo Nabii Tito, ukiona hivyo ujue yuko kwenye heat
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Mmoja atakuwa raisi mwingine makamu, Membe raisi tundu lissu Makamu wake.

Na hii ndo combination ambayo mbowe anawaza kutengeneza,

JK aliamua kutunyoosha ata kunyoke tu hii miaka 10 hatuna jinsi
 
Huko zanzibar wamechukua fomu more than 30 mbona hamkuwaitia takukuru
 
Hahahaaaa... Bwashee niko mtambani hapa ya Ufipa yananifikia vizuri!

Msalimie Sheikhe Ponda Issa Ponda. Membe atampeleka mbio na kumgalagaza Magufuli,mwaka huu pushups hazitoshi ataruka na kichurchura akiwa amevaa boxer.
 
Pole sana Tundu Antipas Lisu Mughwai.

Wakili msomi umepigwa tobo na washirika wako
 
Tundu -Lissu asipogombea urais naomba nipigwe ban @Maxeme Melo na Moderator.
Bwashee tutakutafuta hata insta.
Tulia tu. Labda umri wako ni mdogo
Ni wakati sasa vijana tuwarithishe utamaduni wa mTz.
Multipartism ilipokuja miaka ile tukiwa tumemaliza kukomboa nchi za kusini mwa Afrika, Tz kama kinara iliitisha kura za maoni na 20% tu kati ya 100% waliomba vyama vingi.

Ndipo JKN aliamua kukubali kuwapa walioshindwa yaani 20%
Hii haiingii akili. Why?
Nchi za magharibi zilikuwa zinalazimisha.
Sasa dawa ipo . Je tufanyeje?

Subiri muendelezo wa jinsi intelijensia makini ya nchi ilivyoamua move gani itafaa?

Stay tuned
 
Pole sana Tundu Antipas Lisu Mughwai.

Wakili msomi umepigwa tobo na washirika wako
Nilipowaona Selasini na Komu wanakimbia nikakumbuka maneno ya Yesu alipoulinganisha mti mbichi na mti mkavu!
 
Back
Top Bottom