Kama Mbowe na Marafiki zake wamegharamia Mkutano mkuu wa Chadema mbona mizigo ya Wajumbe imezuiliwa mahotelini Hadi madeni yalipwe?

Kama Mbowe na Marafiki zake wamegharamia Mkutano mkuu wa Chadema mbona mizigo ya Wajumbe imezuiliwa mahotelini Hadi madeni yalipwe?

Nimesoma Nipashe Kwamba Mizigo ya Wajumbe wa Chadema imezuiliwa mahotelini Hadi madeni yote yalipwe

Sasa Freeman Mbowe na rafiki zake waligharamia Mkutano mkuu upi?

Jumaa Mubarak 😂

Nimekaa pale 🐼
20250124_093435.jpg
 
Si wamemtosa mfadhili mkuu?? Huyo Moira domo akalipie sasa sio analea mtumbo wake tu.
Haitakuwa ndani ya siku moja ni mchakato kujenga misingi ya chama kifedha. Na hii ina prove kina lissu na lema walikuwa sahihi, chama kikuu halafu kilikuwa kina endeshwa kwa handouts, Mbowe aone aibu kushindwa kukipa chama msingi wa kifedha kuhudumia activities zake.
 
Nimesoma Nipashe Kwamba Mizigo ya Wajumbe wa Chadema imezuiliwa mahotelini Hadi madeni yote yalipwe

Sasa Freeman Mbowe na rafiki zake waligharamia Mkutano mkuu upi?

Jumaa Mubarak 😂

Nimekaa pale 🐼
Mbowe na marafiki zake, aligharamia Tshirts, kupamba ukumbi, mabango
Mengine Lissu yanamuhusu kama mwenyekiti wa chama sasa!
 
Attachments

  • 20250124_000500.jpg
    20250124_000500.jpg
    139.1 KB · Views: 2
Back
Top Bottom