Wildchild
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 19,411
- 21,938
Hatujawa maadui hivyo hawezi kutuombea njaa.Itakuwa bada ya kuliwa kichwa, bwana Mbowe kagoma kuwalipia wajumbe malazi. Walipe wenyewe. 😛
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatujawa maadui hivyo hawezi kutuombea njaa.Itakuwa bada ya kuliwa kichwa, bwana Mbowe kagoma kuwalipia wajumbe malazi. Walipe wenyewe. 😛
mbowe alifanya vile akijua vema chama ni chake na ataongoza mileleIle siku zile shobo na mihemko waliyoonesha wapambe wa Lissu kumbe wamevaa Tshirt zilizolipiwa na Mbowe wakaonesha utoto wa Hali ya juu sasa ni muda wa kula hela Za ubelgiji.
Kuna mmoja,ni Binti mzuri nitamsaidia!Walipaswa kulala gest za bei nafuu.
Huo ndio ubaya ubwela.Wajumbe awaliwekwa ndani ya hotel kama chambo,Mbowe angepita wangelipiwa wote,sasa kwakua huku kwenye sanduku wamemsaliti.Mbowe kasusa.
Ndiyo Daktari wako amekushauri uondoe msongo kwa namna hii?Si wamemtosa mfadhili mkuu?? Huyo Mpiga domo akalipie sasa sio analea mtumbo wake tu.
DuhKuna mmoja,ni Binti mzuri nitamsaidia!
Ameshakuoa Wewe inatoshaWee jamaaa ni mbeaaa,kwa jf unaweza kuwa unaongoza kwa upande wa Tanganyika,mange kimambi ni wifi yako? Mbowe ana mke na ni mkristo hawezi kukuoa ili uwe nyumba ndogo
Nimeona Mbunge wa Geita Vijijini kasema atawalipia Wote 🐼Sawa Wazee wa mihemko na matamko walipe hela Za watu sasa!
Mchaga mmenunaSi wamemtosa mfadhili mkuu?? Huyo Mpiga domo akalipie sasa sio analea mtumbo wake tu.
Mmepewa chama sasa lipeni madeni acheni kupuyanga…. Lissu yuko ofisini sasa alipe aache kutikisa tumbo tuumbowe alifanya vile akijua vema chama ni chake na ataongoza milele
haina shida, atalipa tuMmepewa chama sasa lipeni madeni acheni kupuyanga…. Lissu yuko ofisini sasa alipe aache kutikisa tumbo tuu
Ndiyo maana tulishawaambia hapo hapakuwa na chama chama kilikufa kitambo. Kilichokuwepo ni NGO chini ya familia ya mbowe. Kibaya kabisa Mbowe ni mwizi na jambazi, fisadi na mla rushwa. Kibaya kabisa anashirikiana na dogo akidhani ni tishi hahaha na lazima apotee kabida mjinga huyu. Kwa ufupi mbowe kajimaliza mwenyewe bila juhudi za serikali. Wewe ona rushwa na kuwalaza wajumbe alitaka apate kura hahaha huku siyo CCM.Nimesoma Nipashe Kwamba Mizigo ya Wajumbe wa Chadema imezuiliwa mahotelini Hadi madeni yote yalipwe
Sasa Freeman Mbowe na rafiki zake waligharamia Mkutano mkuu upi?
Jumaa Mubarak 😂
Nimekaa pale 🐼
Wachagga mmenuna sana 🐼Robert Amsterdam! Amemtelekeza TAL