Kama Mbowe na Marafiki zake wamegharamia Mkutano mkuu wa Chadema mbona mizigo ya Wajumbe imezuiliwa mahotelini Hadi madeni yalipwe?

Kama Mbowe na Marafiki zake wamegharamia Mkutano mkuu wa Chadema mbona mizigo ya Wajumbe imezuiliwa mahotelini Hadi madeni yalipwe?

Pesa inatoka ubelgiji

Muda sio mrefu mizigo itaachiliwq
20250124_000500.jpg
 
Nimesoma Nipashe Kwamba Mizigo ya Wajumbe wa Chadema imezuiliwa mahotelini Hadi madeni yote yalipwe

Sasa Freeman Mbowe na rafiki zake waligharamia Mkutano mkuu upi?

Jumaa Mubarak 😂

Nimekaa pale 🐼
Chechemela alipe, akauze madumu yake ya alizeti
 
Hapo tu Chadema huwa wanakosea huwa hawana mpango mzuri wa kuwaweka sawa watu wao hapo ndio wanazidiwa na CCM ,
 
Situmeambiwa wamekopa milion 47 kwa Sugu inamaana hazijatosha kuwakombowa? Any way nimeamini CHADEMA iliendeshwa kama duka la familia ambalo baba akiondoka dukani anabeba pesa zote
 
Nimesoma Nipashe Kwamba Mizigo ya Wajumbe wa Chadema imezuiliwa mahotelini Hadi madeni yote yalipwe

Sasa Freeman Mbowe na rafiki zake waligharamia Mkutano mkuu upi?

Jumaa Mubarak 😂

Nimekaa pale 🐼
Binadamu hawana shukrani, walivyokuwa wanalipwa hela mkasema wanapewa rushwa live.

Si mbaya, mnaweza kuyakomboa mabegi yao tatizo lipo wapi wapendwa?
 
Binadamu hawana shukrani, walivyokuwa wanalipwa hela mkasema wanapewa rushwa live.

Si mbaya, mnaweza kuyakomboa mabegi yao tatizo lipo wapi wapendwa?
Mkataba aliingia Mbowe na fedha za uchaguzi alipewa tsh million 250
 
Hapo tu Chadema huwa wanakosea huwa hawana mpango mzuri wa kuwaweka sawa watu wao hapo ndio wanazidiwa na CCM ,
Hao unawaona wapo vizuri, ni kwa sababu wana Serikali. Inawezekana siku wakiwa nje ya hapo, wanaweza wasimalize hata miaka miwili. Mfano, waliokuwa wanatawala kule KENYA, MALAWI, ZAMBIA, UGANDA etc, leo hii wapo wapi? Umoja walionao CCM, ni kwa sababu wana DOLA tu!

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Yericko Nyerere alisema akishinda Lissu ndani ya miezi miwili chama kitakuwa kimekufa, ndio kwanza hatujamaliza hata wiki 🐼
 
Tupieni Picha, video ili uongozi mpya sikivu uchukue hatua. Awamu hii ni mambo chapchap hakuna kupoteza muda. Pesa zipo, funguo za safe / kasha la fedha taslimu na benki akaunti zenye mabilioni zilizokuwa makao makuu zipo.

Ni uwazi tu unatakiwa ili hatua za haraka zichukuliwe na uongozi mpya wajumbe waweze kurejea nyumbani.

1737711187169.jpeg

Picha maktaba : Makamu mwenyekiti John Heche akisikiliza swali kwa umakini.
 
Back
Top Bottom