johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mengi ya gizani yatajulikanaNimesoma Nipashe Kwamba Mizigo ya Wajumbe wa Chadema imezuiliwa mahotelini Hadi madeni yote yalipwe
Sasa Freeman Mbowe na rafiki zake waligharamia Mkutano mkuu upi?
Jumaa Mubarak π
Nimekaa pale πΌ
Si wamemtosa mfadhili mkuu?? Huyo Mpiga domo akalipie sasa sio analea mtumbo wake tu.Nimesoma Nipashe Kwamba Mizigo ya Wajumbe wa Chadema imezuiliwa mahotelini Hadi madeni yote yalipwe
Sasa Freeman Mbowe na rafiki zake waligharamia Mkutano mkuu upi?
Jumaa Mubarak π
Nimekaa pale πΌ
Nimesoma Nipashe Kwamba Mizigo ya Wajumbe wa Chadema imezuiliwa mahotelini Hadi madeni yote yalipwe
Sasa Freeman Mbowe na rafiki zake waligharamia Mkutano mkuu upi?
Jumaa Mubarak π
Nimekaa pale πΌ
Kwanini sasa Katibu mkuu anadanganya?Pesa inatoka ubelgiji
Muda sio mrefu mizigo itaachiliwq
Nimesoma Nipashe Kwamba Mizigo ya Wajumbe wa Chadema imezuiliwa mahotelini Hadi madeni yote yalipwe
Sasa Freeman Mbowe na rafiki zake waligharamia Mkutano mkuu upi?
Jumaa Mubarak π
Nimekaa pale πΌ
Miaka 21 inamtoshaSi wamemtosa mfadhili mkuu?? Huyo Moira domo akalipie sasa sio analea mtumbo wake tu.
Watumieni nauli πCDM imeteka akili za watu.Ni muda sahihi sasa wa kwenda kulima hata nyama.
KumekuchaPesa inatoka ubelgiji
Muda sio mrefu mizigo itaachiliwq
Aziz alitoa tsh million 250 zigharamie Mkutano, mmezipeleka wapi? πΌHuko Lumumba zimeanza kupigwa ngumi kwenye makorido
Mimi ni kibaka tu nisiye na chama.Labda niwatumie mikusu wajiburudishe.Watumieni nauli π
Haitakuwa ndani ya siku moja ni mchakato kujenga misingi ya chama kifedha. Na hii ina prove kina lissu na lema walikuwa sahihi, chama kikuu halafu kilikuwa kina endeshwa kwa handouts, Mbowe aone aibu kushindwa kukipa chama msingi wa kifedha kuhudumia activities zake.Si wamemtosa mfadhili mkuu?? Huyo Moira domo akalipie sasa sio analea mtumbo wake tu.
Linaloanza na Ab...?Aziz alitoa tsh million 250 zigharamie Mkutano, mmezipeleka wapi? πΌ
Mbowe na marafiki zake, aligharamia Tshirts, kupamba ukumbi, mabangoNimesoma Nipashe Kwamba Mizigo ya Wajumbe wa Chadema imezuiliwa mahotelini Hadi madeni yote yalipwe
Sasa Freeman Mbowe na rafiki zake waligharamia Mkutano mkuu upi?
Jumaa Mubarak π
Nimekaa pale πΌ