Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Hao ndio wale wajumbe waliompa kura Mbowe kwa ufadhili wa CCM.Si wamemtosa mfadhili mkuu?? Huyo Mpiga domo akalipie sasa sio analea mtumbo wake tu.
Makubaliano ni kwamba pesa watalipwa baada ya matokeo na ngoma imebuma