Kama mbwai iwe mbwai: Ukraine kupiga mabomu meli zinazopeleka mizigo Urusi

Swala sio aina ya silaha, swala ni wapi zitatumika...Odessa kapokea kipigo mpaka Mayor wao anasema hajawahi kuona....Ile Kiev pale..itakuwa majivu...ikulu ya Zelensky na maeneo mengine....Ukraine akitumie terrorist methods Russia naye akijibu Ukraine ataumia...

Last week kuna kimgahawa kiliguswa tu..chini..kelele kote duniani..sasa subiri Kiev city centre iguswe ndo mtajua collateral damage iko kwa nani..Urusi au Ukraine..

Mimi nilitegemea aiparamie Ukraine kwa wiki moja, kapeleka limsafara likapigwa na wabeba javelin, ni miaka miwili sasa amejaribu kila mbinu kainchi kadogo kamemlemaza, hehehe yaani mlichagua kuabudu mtume Putin kawaangusha sana nyie watu.
 
Nuclear??
Silaha zote zimeshatumika Ukraine kasoro nuclear tu.
Kwenye silaha za mass destruction warusi huwa wanaitaja nuclear kuficha silaha hizo nyingine lakini ni Taifa hatari sana. Hana sababu ya kutumia nuclear kwa sababu zinajulikana na zinaonekana, atatumia zile za siri kabisa Kama za kutengeneza matetemeko. Ukraine inapigwa na tetemeko moja zito mchezo unaisha hapo.
 
Teh teh teh yale yale ya Hypersonic Missile,sasa hivi humsikii Putin akiongelea tena hayo makopo
 
Swala sio aina ya silaha, swala ni wapi zitatumika...Odessa kapokea kipigo mpaka Mayor wao anasema hajawahi kuona....Ile Kiev pale..itakuwa majivu...ikulu ya Zelensky na maeneo mengine....Ukraine akitumie terrorist methods Russia naye akijibu Ukraine ataumia...

Last week kuna kimgahawa kiliguswa tu..chini..kelele kote duniani..sasa subiri Kiev city centre iguswe ndo mtajua collateral damage iko kwa nani..Urusi au Ukraine..
Mkuu embu pata utulivu uandike kwa kutulia.
 
Ukimwaga mboga namwaga ugali

[emoji298]From July 21, 2023, all ships on the Black Sea heading to Russian ports and Ukrainian ports temporarily occupied by Russia could be considered by Ukraine as potential carriers of military equipment with all the relevant risks, the Ukrainian Defense Ministry has said.[emoji298]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Ahsante.
 
Ukiangalia ramani utaelewa halafu kumbuka Russia ana melivita na nyambizi za kutosha hapo black sea
Kuwa na meli na nyambizi ndio nini mkuu, mbona ile Moskva meli kubwa kabisa ya kivita ya Russia ilizamishwa kirahisi.

Ukraine alishapokea msaada mkubwa wa Anti ships kutoka magharibi, tegemea mnyukano wa nguvu hapo.
 
Kuwa na meli na nyambizi ndio nini mkuu, mbona ile Moskva meli kubwa kabisa ya kivita ya Russia ilizamishwa kirahisi.

Ukraine alishapokea msaada mkubwa wa Anti ships kutoka magharibu, tegemea mnyukano wa nguvu hapo.
Tatizo unadanganywa na western medias una habari kuwa ilishatengenezwa na ipo mzigoni? Tumia Google kupata habari sio kuangalia porn
 
Mimi nilitegemea aiparamie Ukraine kwa wiki moja, kapeleka limsafara likapigwa na wabeba javelin, ni miaka miwili sasa amejaribu kila mbinu kainchi kadogo kamemlemaza, hehehe yaani mlichagua kuabudu mtume Putin kawaangusha sana nyie watu.
Putin ni kafir kwao, sijui imekuaje wanamshabikia Kafir. Sipati picha Putin angekuwa ndo ayatolah.
 
Kwenye silaha za mass destruction warusi huwa wanaitaja nuclear kuficha silaha hizo nyingine lakini ni Taifa hatari sana. Hana sababu ya kutumia nuclear kwa sababu zinajulikana na zinaonekana, atatumia zile za siri kabisa Kama za kutengeneza matetemeko. Ukraine inapigwa na tetemeko moja zito mchezo unaisha hapo.
Unaongea as if mambo ni rahisi hivyo, hakuna amiri jeshi anayefurahia kupoteza askari wake vitani. Hayupo huyo amiri jeshi, lakini sasa unapoona putini anapoteza maelfu na hachukua uamuz mgumu usione kwamba amependa, kuna angle amebanwa.

Kafatilie mwanzoni mwa hii vita kauli ya UK NA US endapo Russia akaonesha dalili zozote za kutumia Nuclear. Possibly, kutakuwa na nukes around Russia kipindi chote hiko cha vita.
 
no go zone imeshawekwa pamoja na Katibu Wa UN kuandika barua kuomba kwa Putin

Ukraine anajitutumua tu yaani bandari yako unapewa utaratibu ama utumie au usitumie na wanavyodai watashambulia meli za Russia mbona mwanzo hawakufanya hivyo
Marekani alituambia dunia anakwenda Iraq.bila kibari
cha UN pekee yake anayetaka kumfuata amfuate Iraq wakaibuka UK kumsapoti why now asitamke hivyo
 
Back
Top Bottom