Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwamba Urusi siku hz anasubir ukraine ajichaganye , wkt alipovamia kyiev hakusubir Ukraine ijichanganyeHii vita itaisha karibuni tu
Ngoja ukraine ajichangaye ale kipondo kizuri..
Unafikiri kwa nini mwafrika anadhaurika ?Ushabiki wa kitoto simba na yanga huu ktk damu za watu.
Wanafanya wanavyoona wao inafaa, sivyo unavyoona wewe ambaye umeshindwa kuleta mabadiliko yoyote ya msingi kwenye taifa lako la maombaomba.no go zone imeshawekwa pamoja na Katibu Wa UN kuandika barua kuomba kwa Putin
Ukraine anajitutumua tu yaani bandari yako unapewa utaratibu ama utumie au usitumie na wanavyodai watashambulia meli za Russia mbona mwanzo hawakufanya hivyo
Marekani alituambia dunia anakwenda Iraq.bila kibari
cha UN pekee yake anayetaka kumfuata amfuate Iraq wakaibuka UK kumsapoti why now asitamke hivyo
Iran naye kaona wivu kaenda kujiozesha kwa Mrusi.Ukraine ni mke wa milele wa Marekani.
Mkuu sasa kama jeshi la Ukrean linashambulia Cremea bado tu hujajua kama urusi ni maji ya shingo? kabla Crimea ilikuwa haigusiki na putin alionya sana kushambuliwa Crimea na akasema kushambulia Crimea ni kushambulia urusi leo unajionea mwenyewe kambi za zinapigwa kiberiti putin hana la kufanyakomboeni basi maeneo aliyoteka.
Haijatengenezwa wewe mcheza porno ( Porn Star )Tatizo unadanganywa na western medias una habari kuwa ilishatengenezwa na ipo mzigoni? Tumia Google kupata habari sio kuangalia porn
HayaHaijatengenezwa wewe mcheza porno ( Porn Star )
Hivi umeishia darasa la ngapi?Silaha ipi hajatumia labda, maana zimeanguliwa zote, na akithubutu kugusa nyuklia ndio atafutika duniani.