Kama mbwai iwe mbwai: Ukraine kupiga mabomu meli zinazopeleka mizigo Urusi


Mimi nilitegemea aiparamie Ukraine kwa wiki moja, kapeleka limsafara likapigwa na wabeba javelin, ni miaka miwili sasa amejaribu kila mbinu kainchi kadogo kamemlemaza, hehehe yaani mlichagua kuabudu mtume Putin kawaangusha sana nyie watu.
 
komboeni basi maeneo aliyoteka.

Yanakombolewa ustadhi, endelea kuwa tuned in maana mpaka sasa maeneo mengi yamerejeshwa, yaani ni aibu kwa Warusi kufa maelfu na bado wanapoteza walichokua wameteka, mlichagua mtume wa hovyo sana bwana Putin.
 
Nuclear??
Silaha zote zimeshatumika Ukraine kasoro nuclear tu.
Kwenye silaha za mass destruction warusi huwa wanaitaja nuclear kuficha silaha hizo nyingine lakini ni Taifa hatari sana. Hana sababu ya kutumia nuclear kwa sababu zinajulikana na zinaonekana, atatumia zile za siri kabisa Kama za kutengeneza matetemeko. Ukraine inapigwa na tetemeko moja zito mchezo unaisha hapo.
 
Teh teh teh yale yale ya Hypersonic Missile,sasa hivi humsikii Putin akiongelea tena hayo makopo
 
Mkuu embu pata utulivu uandike kwa kutulia.
 
Ahsante.
 
Ukiangalia ramani utaelewa halafu kumbuka Russia ana melivita na nyambizi za kutosha hapo black sea
Kuwa na meli na nyambizi ndio nini mkuu, mbona ile Moskva meli kubwa kabisa ya kivita ya Russia ilizamishwa kirahisi.

Ukraine alishapokea msaada mkubwa wa Anti ships kutoka magharibi, tegemea mnyukano wa nguvu hapo.
 
Kuwa na meli na nyambizi ndio nini mkuu, mbona ile Moskva meli kubwa kabisa ya kivita ya Russia ilizamishwa kirahisi.

Ukraine alishapokea msaada mkubwa wa Anti ships kutoka magharibu, tegemea mnyukano wa nguvu hapo.
Tatizo unadanganywa na western medias una habari kuwa ilishatengenezwa na ipo mzigoni? Tumia Google kupata habari sio kuangalia porn
 
Mimi nilitegemea aiparamie Ukraine kwa wiki moja, kapeleka limsafara likapigwa na wabeba javelin, ni miaka miwili sasa amejaribu kila mbinu kainchi kadogo kamemlemaza, hehehe yaani mlichagua kuabudu mtume Putin kawaangusha sana nyie watu.
Putin ni kafir kwao, sijui imekuaje wanamshabikia Kafir. Sipati picha Putin angekuwa ndo ayatolah.
 
Unaongea as if mambo ni rahisi hivyo, hakuna amiri jeshi anayefurahia kupoteza askari wake vitani. Hayupo huyo amiri jeshi, lakini sasa unapoona putini anapoteza maelfu na hachukua uamuz mgumu usione kwamba amependa, kuna angle amebanwa.

Kafatilie mwanzoni mwa hii vita kauli ya UK NA US endapo Russia akaonesha dalili zozote za kutumia Nuclear. Possibly, kutakuwa na nukes around Russia kipindi chote hiko cha vita.
 
no go zone imeshawekwa pamoja na Katibu Wa UN kuandika barua kuomba kwa Putin

Ukraine anajitutumua tu yaani bandari yako unapewa utaratibu ama utumie au usitumie na wanavyodai watashambulia meli za Russia mbona mwanzo hawakufanya hivyo
Marekani alituambia dunia anakwenda Iraq.bila kibari
cha UN pekee yake anayetaka kumfuata amfuate Iraq wakaibuka UK kumsapoti why now asitamke hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…