Kama Mdada wa mjini akikuambia kuwe wewe ni "boring" basi tambua unaishi sahihi.

Kama Mdada wa mjini akikuambia kuwe wewe ni "boring" basi tambua unaishi sahihi.

................Akikusifia sana basi tambua unajilazmisha kuishi nje ya mipaka yako na comfort zone yako ili kumridhisha yeye au ku-brag kwake kuwa unamuweza.

Shikilia hapo hapo mwanangu ni bora uitwe mshamba kuliko kujisukuma sukuma hadi unajikuta umempangia nyumba malaya.

A HOE IS A HOE.
Kweli kabsa
 
Na vijana wameshikwa akili mpaka unawahudumia.. Kila pesa anayopata anapeleka kwa mwanamke ambaye sio mkewe wala mchumba wake.. Na unakuta mwanamke huyo ana msururu wa wanaume na wote wanapeleka pesa..
 
Wanawake hao wenu wa mjini mnaowapata wote ni Pasua kichwa kulingana na mada zenu basi jaribuni na wa huku Liwale wametulia
 
Back
Top Bottom