Kama Mdada wa mjini akikuambia kuwe wewe ni "boring" basi tambua unaishi sahihi.

Kweli kabsa
 
Na vijana wameshikwa akili mpaka unawahudumia.. Kila pesa anayopata anapeleka kwa mwanamke ambaye sio mkewe wala mchumba wake.. Na unakuta mwanamke huyo ana msururu wa wanaume na wote wanapeleka pesa..
 
Wanawake hao wenu wa mjini mnaowapata wote ni Pasua kichwa kulingana na mada zenu basi jaribuni na wa huku Liwale wametulia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…