Kama Mdude Nyagali yupo hai basi Mungu wa Mbinguni ahimidiwe

Kama Mdude Nyagali yupo hai basi Mungu wa Mbinguni ahimidiwe

mcTobby

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2018
Posts
7,894
Reaction score
22,679
Nimemsikiliza mjeda huyu, ndugu, na POLEPOLE. Kuna mahali ametaja Mdude ni miongoni mwa watu kadhaa wanaoshikiliwa mahali fulani.

Itoshe kusema kama yupo hai basi Mungu wa Mbinguni ahimidiwe na Mungu aendelee kuwatetea huko walipo. And one Day yes, the storm will be over.

Anyway msikilizeni kwenye clip hii.

 
Nimemsikiliza mjeda huyu ndugu na POLEPOLE. Kuna mahali ametaja Mdude ni miongoni mwa watu kadhaa wanaoshikiliwa mahali fulani.. Itoshe kusema kama yupo hai basi Mungu wa Mbinguni ahimidiwe na Mungu aendelee kuwatetea huko walipo. And one Day yes , The storm will be over.
Anyway msikilizeni kwenye clip hii.

View: https://x.com/i/status/2024831656612266011

Mna uhakika huyu jamaa ni mjeda?
 
Nimemsikiliza mjeda huyu ndugu na POLEPOLE. Kuna mahali ametaja Mdude ni miongoni mwa watu kadhaa wanaoshikiliwa mahali fulani.. Itoshe kusema kama yupo hai basi Mungu wa Mbinguni ahimidiwe na Mungu aendelee kuwatetea huko walipo. And one Day yes , The storm will be over.
Anyway msikilizeni kwenye clip hii.
Na mimi nina wasiwasi kama wako. Nashangaa watu na akili zao wanamsikiliza huyu ndugu.
 
Back
Top Bottom