Kama Mdude Nyagali yupo hai basi Mungu wa Mbinguni ahimidiwe

Kama Mdude Nyagali yupo hai basi Mungu wa Mbinguni ahimidiwe

Sio TARGET HUYOOO.
Ila wamefanya makosa sana kumuua pole pole.
Yaani kisa madaraka unaua mtu
Unafikiri ni rahisi hivyo? Hajapata tu mtu wa kumuuza kwa vipande 30 aakitokea tu shida itaanzia hapo, Pasaka imekaribia na Ramadhan haipo mbali tutubu
 
Unafikiri ni rahisi hivyo? Hajapata tu mtu wa kumuuza kwa vipande 30 aakitokea tu shida itaanzia hapo, Pasaka imekaribia na Ramadhan haipo mbali tutubu
Sidhani.ila wana muona Hana MADHARA.
Hamuuumizi bosi wao .
Pole pole alikuwa anachoma moyo wa bosi wao
 
Kwa akili zako unadhani pole pole anaweza kuwa HAI?
hawawezi kufanya Hilo KOSA.
Bora lawama
Endapo hii ni kweli basi Kuna namna italeta shida in long run... Japo sina uhakika wa kuhitimisha Moja kwa moja kwamba yupo hai au la.
 
Kama mdude atakuwa hai basi wote waliopetea watakuwa hai
kitu ambacho hakiwezekani!
Noma sana.. sema kadiri upepo wa kiangazi utakapovuma tutaziona nyeti za kuku zinafananaje
 
Back
Top Bottom