Mna uhakika huyu jamaa ni mjeda?Nimemsikiliza mjeda huyu ndugu na POLEPOLE. Kuna mahali ametaja Mdude ni miongoni mwa watu kadhaa wanaoshikiliwa mahali fulani.. Itoshe kusema kama yupo hai basi Mungu wa Mbinguni ahimidiwe na Mungu aendelee kuwatetea huko walipo. And one Day yes , The storm will be over.
Anyway msikilizeni kwenye clip hii.
View: https://x.com/i/status/2024831656612266011
Wewe jamaaa usiongeee iloMdude na Polepole hawawezi kuwa hai hadi leo
Awe makini sana maana wanamlia timing tuMdude na Polepole hawawezi kuwa hai hadi leo
Marekani ya KasikaziniKanali wa jeshi gani.
Mkunda anamjua?
Yaani watu wakuteke zaidi ya miezi 6 wawe wanakupa chakula chao?Wewe jamaaa usiongeee ilo
DuuuuhAwe makini sana maana wanamlia timing tu
Na mimi nina wasiwasi kama wako. Nashangaa watu na akili zao wanamsikiliza huyu ndugu.Nimemsikiliza mjeda huyu ndugu na POLEPOLE. Kuna mahali ametaja Mdude ni miongoni mwa watu kadhaa wanaoshikiliwa mahali fulani.. Itoshe kusema kama yupo hai basi Mungu wa Mbinguni ahimidiwe na Mungu aendelee kuwatetea huko walipo. And one Day yes , The storm will be over.
Anyway msikilizeni kwenye clip hii.
Huyo mjanja mjanjaMarekani ya Kasikazini
Wanamtafutia angle n yeye wapite nae awe makiniHuyo mjanja mjanja
Sio TARGET HUYOOO.Wanamtafutia angle n yeye wapite nae awe makini