Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na ana mpango wa kupanua hotel yake Pestana CR7Ronaldo legacy yake haiwezi kupotea kizembe. Anachofanya Ronaldo ni watoto wengi waliotoka familia za maisha ya chini wangefanya.
Ile offer ni nzuri sana kuzidi status ambayo angeipata akishinda makombe kadhaa kwa muda uliobaki. Tayari kashinda kila kitu, Ronaldo ametengeneza generational wealth, ameweka income streams ambazo hata siku moja akikaa chini atasema 'nimetimiza lililonileta duniani kwa ajili yangu na kizazi changu.'
The Ronaldos hawatalia shida tena kwasababu mtu mmoja tu katika ukoo wao ameweza kuvunja chain ya umasikini. Si unaona leo hii kuna brands kubwa kama Gucci, Dior ni vizazi vinafaidi na ndiyo itakavyokuwa kwa brand ya CR7.
Hata wedi kapu anayoRonaldo legacy yake haiwezi kupotea kizembe. Anachofanya Ronaldo ni watoto wengi waliotoka familia za maisha ya chini wangefanya.
Ile offer ni nzuri sana kuzidi status ambayo angeipata akishinda makombe kadhaa kwa muda uliobaki. Tayari kashinda kila kitu, Ronaldo ametengeneza generational wealth, ameweka income streams ambazo hata siku moja akikaa chini atasema 'nimetimiza lililonileta duniani kwa ajili yangu na kizazi changu.'
The Ronaldos hawatalia shida tena kwasababu mtu mmoja tu katika ukoo wao ameweza kuvunja chain ya umasikini. Si unaona leo hii kuna brands kubwa kama Gucci, Dior ni vizazi vinafaidi na ndiyo itakavyokuwa kwa brand ya CR7.
Hata hilo sanamu la matangazo maadamu mshiko unaingia hakuna shidaRiziki ni mafungu saba ila katika saba umebakisha moja umalize fungu lako.
Ukiona umepata mafanikio makubwa tambua huko mbeleni kuna misukosuko isiyonatija. CR7 anaamini bado ni mzuri kwenye mpira na Waarabu wamemchukua sio kwa ajili ya mpira kama sanamu lao la matangazo.
Ila huyu mwamba angefanya kama Bekham naona ingemsaidia sana sababu ana uwezo wa kuwa mwanamitindo na matangazo tu.
Au kufanya biashara yenye brand yake. Mpira kwa sasa basi kwake.
Na hapa ndio tutamsahau.
Unajua analipwa sh ngapi kwa mwezi. Hiyo heshima inamsaidia nini hajakaa uchi kaenda kwa waarabu. Acha babu astaafu na pesa yakeRiziki ni mafungu saba ila katika saba umebakisha moja umalize fungu lako.
Ukiona umepata mafanikio makubwa tambua huko mbeleni kuna misukosuko isiyonatija. CR7 anaamini bado ni mzuri kwenye mpira na Waarabu wamemchukua sio kwa ajili ya mpira kama sanamu lao la matangazo.
Ila huyu mwamba angefanya kama Bekham naona ingemsaidia sana sababu ana uwezo wa kuwa mwanamitindo na matangazo tu.
Au kufanya biashara yenye brand yake. Mpira kwa sasa basi kwake.
Na hapa ndio tutamsahau.
Ni sawa ila akitoka hapo anakuwa nani wakati kapoteza soko.
Waarabu wana pesa kuliko wazungu?W
We bado hulijui soko la Cr7 lilivyo na nguvu, hapo kinachobadilika ni focus ya kibiashara huko Saudia,, waarabu wanapesa vibaya sana
Preseason za Vilabu vingi vikubwa ulaya hupenda kwenda barani Asia ili kutanua wigo wa masoko yao
Waarabu ndio kiini cha Man City kutawala Epl, na sasa wanaindea Newcastle utd
Cr7 kaangalia mpunga atakaokunja huko Al Nasr kuanzia angle ya mshahara, bonuses mpaka matangazo huko ktk nchi husika
Pesa haina kikomo cha kutafuta, ndio maana matajiri kina Bakhressa kila leo wanazidi kuongeza wigo wa biashara ilhali sisi maskini account ikisoma tumilioni kadhaa tunaanza kutembea kwa kutanua makwapa kama tuna majipu vile [emoji3]
Well saidRonaldo legacy yake haiwezi kupotea kizembe. Anachofanya Ronaldo ni watoto wengi waliotoka familia za maisha ya chini wangefanya.