Kama mke wako ni pisi Kali na anafanya kazi kwenye makao makuu ya halmashauri au kwa DC nakuapia wale vijana wa idara pendwa wakimtaka hachomoi

Hapana mimi ni Legend najua. Huyu Dada ananipenda sana sana. Na Mimi nampenda na Kumheshimu mkuu.
Yaan daah kuna wanawake wanajua kupenda hadi raha yaan kila ukitazama kasoro yake ya kusema ni kasoro kubwa huioni. Mungu akuweke S..
Una umri gani boss!?
 
Ukitaka usiwe na stress chukulia kuwa anatoka na mtu mwingine lkn anaheshimu haonyeshi hadharani

Ili uwe safe

Maana wanaoamini hivyo ndo wanaongoza kuua na kujiua

Imagine ck ya ck ukamkuta live anafumuliwa na njemba ambayo Fala haswa utafanyaje

Usiamini uko PEKE yako take it easy
 
Kama mkeo malaya sio hao tu hata muuza genge atamgonga tena kwa kumuhonga nyanya mbili.

Vijana usioe malaya na ikitokea umeoa malaya usisitishe kumuacha arudi kwa masela waendeelee kujilia vyao
 
So byutiful [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]

Kwenye huu ulimwengu ambao nafsi za watu zimejaa vidonda na makovu lukuki, nyingine zimeshajifia na haziaminn tena katika mapenzi ya kweli; kukuta mwanamume anaamini katika mapenzi; anampenda na kumuamini mwanamke wake, and speaks so highly of her... Aisee naamini huyo mwanamke anajua ni kiasi gani amebarikiwa kuwa na wewe; add hopeful she doesn't take your trust for granted. Keep blessing your woman by the word of your mouth. Ukayaone na kuenjoy matunda ya maneno mazuri unayomnenea
 
Amen. Endeea kumnenea maneno mazuri mpenzi wako. Wengine hata wapewe wanawake wema; wataua tu huo wema kwa maneno yao mabaya wanayowatamkia
Hapana mimi ni Legend najua. Huyu Dada ananipenda sana sana. Na Mimi nampenda na Kumheshimu mkuu.
Yaan daah kuna wanawake wanajua kupenda hadi raha yaan kila ukitazama kasoro yake ya kusema ni kasoro kubwa huioni. Mungu akuweke S..
 
Mzee mbona unakuja kumwaga mishe zetu huku? Dadeq zako...
 
Wapemba hawatanii utamsikia "mimi namwachia Mungu........",akipotea kwa wiki kadhaa akirudi jua lazima kuna mtu kishapewa discipline.
 
Hapana mimi ni Legend najua. Huyu Dada ananipenda sana sana. Na Mimi nampenda na Kumheshimu mkuu.
Yaan daah kuna wanawake wanajua kupenda hadi raha yaan kila ukitazama kasoro yake ya kusema ni kasoro kubwa huioni. Mungu akuweke S..
Pole
 
Na hapo ulioa mke uku ukiwa umepika goti, unatoa machozi mwenyewe, kamasi kwa mbaaali na kujamba kwa vituo.

Na mke anatiwa kwa uzuri tu. Poleni
 
Watu gani mnawaongelea? Sijaelewa chochote huu uzi
 
Nyie ndio mnajinyonga mwisho wa siku au kuchapa watu na risasii...

Moyo utashuka kwenye makalio hiyo siku utakapo gundua bodaboda mtaa wa pili anabembea na manzi yako
 
ww acha uogo ogopa vijana wa kwenye taasisi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…